Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
mishahara ya watumishi wa sector za umma ni above 6.8b, watumishi wengine humo humo wanamnanga JPM ali a lokck Dar inayokusanya 80% ya total revenue, bado mnataka awalipe walimu wa private schools over 80thousands, pamoja na kutolock Dar mapato yote ya utalii ni 0% bado ulinzi na usalama wa Nchi bado Hospital na mahitaji yake bado kuna over 6b za kulipa madeni ya Nje na ndani makusanyo ya sasa hayawezi kubeba mzigo kama huo,
ungekuwa katika nafasi kama yake ungejua uzito wa suala hilo. 'niwarudishe kwenye hadithi ya mtumbWI uliopasuka baharini ukiwa umewabeba Mama mzazi, Mke na Mtoto jamaa ( Mume) alikuwa ana uwezo wa kumuokoa mmoja tu' anaulizwa atamuokoa nani? Mama wa Muhimu ndiye aliyekuleta duniani, Mke wa muhimu sana ndiye anayekupa maisha na starehe muhimu Mtoto ndiye mrithi wako na ungependa aishi, unafanyaje?.
Magu amefikishwa hapo pa kuamua, na nampongeza ameamua kiume, wafe wachache wasife wengi kwa njaa, na uchumi
wote wa Nchi kudorola, kuwepo Chato kunampa nafasi ya kutafakari zaidi anapokumbuka wakati anachunga ng'ombe milima ya kwao na Tanzania aliyoibeba kichwani pake, ndoto alizo nazo kwa Tz na vikwazo vinavyoingilia maono yake , si kazi nyepesi kabisa tunapoandika humu JF tujiweke kwenye nafasii yake. tukishatafakari tuachane na kejeli tumuombee.