Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
APRIL and MAY waalimu Wapaswa kulipwa hizi shule nyingine zinaleta tamaa tu kudhulumu waalimu. Wameanza kuja huku kufanya lobbying kutumia watu kama wewe. Ikifika July sawa ila kwa sasa wabebe jukumu Lao walipe. TUSIIME LIPENI WAALIMU ACHENI KUTUVURUGA WAZAZIWote tumemsikia rais wetu jana.
Ujumbe kwenye ile speech, literally, ni "Mtanzania, chagua ufe kwa Korona au ufe kwa njaa".
Amesema lockdown ni nonsense (iwe partial kama ya Kenya/Uganda au flully fledged). Amesisitiza uchumi wa watu na nchi utaporomoka tukifanya lockdown.
Lakini, mimi naona serekali haipo consistent kwani tayari ime impose full lockdown kwenye sekta ya elimu. Kuna kundi la watu huku litaathirika kiuchumi, in particular wamiliki wa shule binafsi na waajiriwa katika shule hizo (kuna jumla ya waalimu 89,475 katika shule hizi).
Serekali inasemaje kuhusu hawa waalimu? Maana kama private schools zingepewa option ya kutofunga shule zao am sure nyingi (kama siyo zote) zisingefungwa.
Kwa ku impose lockdown kwenye sekta ya elimu, serekali imewaathiri kiuchumi hawa maelfu ya waalimu na kwa hiyo inawajibika kuwalipa ili kuwa sustain kipindi cha lockdown.
Sent using Jamii Forums mobile app