Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

APRIL and MAY waalimu Wapaswa kulipwa hizi shule nyingine zinaleta tamaa tu kudhulumu waalimu. Wameanza kuja huku kufanya lobbying kutumia watu kama wewe. Ikifika July sawa ila kwa sasa wabebe jukumu Lao walipe. TUSIIME LIPENI WAALIMU ACHENI KUTUVURUGA WAZAZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo wazo zuri maana watakufa njaa walimu wetu wa private.

Serikali iwakopeshe wamiliki wa shule plus vyuo walipe mishahala harafu baada ya corona warudishe pesa za walipa kodi.
 
Apo wazo zuri maana watakufa njaa walimu wetu wa private.

Serikali iwakopeshe wamiliki wa shule plus vyuo walipe mishahala harafu baada ya corona warudishe pesa za walipa kodi.

Mkuu kwa msimamo wa serikali hii hakuna kipindi kama after Corona in sight.

"Hii Katiba ni mbaya sana na hasa mkipata rais ********." Mwisho wa kumnukuu.
 
Umeweka mada nzuri ya kufikirisha. Nadhani Wizara husika ingetoa mwongozo. Pia kuna hizi home assignment wanazopewa wanafunzi kipindi hiki je zitawekwa kwenye gharama za ada? kuna kitu kinatakiwa kuwekwa sawa na Wizara
Waalimu wanatoa assignment wanasahohosha na wanafundisha online yet wanaambiwa endeleeni na kazi na hapatakuwa na mshahara. Hii thread ni kutoka kwa grupu la wenye shule hizi kama Tusiime wanaotaka kuona wazazi wanasemaje. Ada hulipwa ya term na wachache huomba kumalizia ada mwisho wa term na huingii bila kupata clearance ya ada.

Hapa inatengenezwa hujuma kwa serekali ionekane haiwajibiki. Watu kama hawa wachukuliwe hatua na Chama na serekali ngazi zote.

Mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa pale shule ilipo, CCM ngazi ya mkoa hadi taifa hakisheni waalimu hawadhulumiwi , wanalipwa na serekali inapata kodi yake Hakuna kukwepa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo data umezipata wapi!? Tuanzie hapo.
Unajua kuwa kuna shule walimu wake ni wale fake waliotimuliwa na serikali!? Unajua kuna shule zina walimu toka nje, hawana kibali cha kuishi nchini.na hawana work permit!?
Ndugu Hawa walimu wa private si wanachama wa TUCTA wala chama chochote cha wafanyakazi. Huko shule binafsi kuna uozo mwingi zaidi ya hili la corona
 
Duh!!! Apo kweli ni mtihani kwa kweli mkuu
 
Lockdown ipi? ni kwamba watoto kutokana na kutokuwa makini wakiwa pamoja basi wamepewa wazazi hilo jukumu!
 
Tumeambiwa mara nyingi tafuta vyanzo mbadala vya kipato,walimu wawe na kabiashara ka pembeni hakuna namna serikali italipa mtu ambaye haijamuajiri. Waliopoteza kazi ni wengi na serikali pia inapoteza mapato kibao!! Izo shule zikakope bank ziwalipe walimu kwani likizo ya June na December huwa wanafanyaje??
 
Ni sahihi lakini mshahara ni haki yao na waajiri wamekusanya ada ya mhula na michango mingine mingi .Hawa ni waajiriwa wa hizo shule km TUSIIME shule hizi zina uwezo wa kulipa mpaka June. Tamaa ndio imewajaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio watu wanalilia lockdown. Haya weeee
 
mimi mwalimu pia lakini nafundisha katika public higher learning institution.

hawa waalimu wa private schools ni victims of circumstances..... serekali inatakiwa kutenga fungu kwa ajili yao ama sivyo tunaenda kuua elimu nchini.
 
daa japo Mimi ninakaday care kangu sijalipa watumishi mshahara, roho inaniuma ila nitafanyeje sasa,maana nategemea ada za wazazi, na wazazi wamegoma kulipa ADA, kisingizio kuwa hawajasoma.....sasa wadau tufanyeje hapoooo...tupeni ushauriiii.....maana hatupendi iwe hivyo.
 
Kwani hizi shule binafsi awaja insured shule zao dhidi ya majanga(bima za majanga)?
 
Serikali ingewasaidia shule binafsi kuwalipa walimu kipindi hiki cha mpito.
 
Pole sana mkuu.

Hivi mna bima za kuhusiana majanga kama haya? Tafadhari wataalamu wa bima unahitaji ufafanuzi tafadhari
 
Dah!!

Umeigonga hiyo shule maana kwanza ulijuaje wao ndio wanadai kama ugomvi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…