Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Unaona ulivyo mjinga. Umalaya wa Zuchu ndiyo coding? Kukata mauno ni coding? Hakuna mtu anayeupinga mfumo wa elimu wa Tanania kama mimi lakini hatuwezi kuuboresha kwa ku-sub contract kwa machangudoa watusaidie. Watoto kuimba na kucheza nyimbo zake ndiyo kuonyesha ni mtaalam? Ficha ujinga wako. Mtoto ukimzoesha mambo ya kijinga atazoea na kuona ndiyo ya maana. Na mimi sipingi watoto kufurahi na kuimba ila napinga vitu wanavyojifunza kwenye hizo nyimbo. Sijawahi kuona mtu mwenye mawazo mgando kama wewe. Nimeishi nchi zilizo na mifumo bora kabisa ya elimu kwa watoto na naelewa nachosema.
 
Siopoa kumuita changu binti wa watu
 
Zuchu huyu ambaye ana kakaake marehemu Omari kopa na mama yake khadija akawafundishe wanangu?
Tafadhali we jamaa embu punguza ujinga kidogo.
Labda km kuna somo la kuliwa mitaro.
Maana shule km shule huyo zuchu hana.
 

Najua hauna ubongo wakuweza kuchakata nilichokindika. Ungekuwa na nia ya kujifunza ningekuelewsha ni namna gani watu walioendelea wana design mitaala yao.

Ila kwa kuwa unatumia style ya kuchamba hayo mambo nimewaachia nyie mademu mimi siwezi kusutana.
 
Zuchu huyu ambaye ana kakaake marehemu Omari kopa na mama yake khadija akawafundishe wanangu?
Tafadhali we jamaa embu punguza ujinga kidogo.
Labda km kuna somo la kuliwa mitaro.
Maana shule km shule huyo zuchu hana.
Mtoto ana mwaka mmoja anakaa anamsikiza Zuchu na anafatisha anachoimba. Nchi za wenye akili wanaanzia hapo kufikiria. Ila waswahili Mungu aliwanyima maarifa sio kosa lenu.
 

Hii ni kweli, nadhani hapa ndo shida, optimistic vs pessimistic views on glass of water?
1: a glass is half filled
2: a glass is half empty

Kwa wenzetu wangeweza kutengeneza kitu chanya zaidi kunufaisha jamii. Mfano: kwenye mfumo wa elimu kuna kitu cha kusisimua kinachomfanya mtoto apende mazingira ya shule na vilivyopo? Kama vipo au havipo tumia influence hiyo kuboresha.

Kufurahi huleta vichocheo chanya kwenye mwili/happy hormones. Hapa mtoto anafurahi na kuwa na faraja, baada ya hapo anasoma kwa amani.

Ni tegemeo la mwalimu mtoto atapenda shule na mazingira ya shule pia. Hivyo, ufundishaji kuwa mwepesi pia. Watu wako very serious na kila kilicho mbele yao maishani hivyo wanataka kila mtu ayachukue hivyo maisha kama wao, matokeo yake tunatengeneza jamii iliyojaa depression vs anxiety na hawawezi kuhoji chochote.
 
Bongo ukiwa na uwezo mkubwa wa kukariri madesa, ndiyo unaonekana eti una akili. Maana utafaulu mitihani ngazi zote. Na mwisho wa siku ukipewa nafasi ya kiuongozi, matokeo yake ndiyo haya sasa ya akina Profesa Mkenda.
 
Kuna kikubwa umeongea. Nadhani unaungana namie pia na Elon Musk alivyosema kuwa shule haitakiwi oonekane Kama adhabu ama kazi kwa mwanafunzi. Akasema kuwa shule inatakiwa iwe Kama video get Mana huwa haumwambii mwanao kuwa akacheze video game ,hii Ni kwa pote hata kazini.kuna watu wanafanya kazi huku mioyoni mwao hawana furaha kabisa
 
Elimu inaboreshwa kwa serikali kuwa na mfumo mzuri, shule nzuri na waalim wazuri wenye utalaam wa kufundisha na siyo kuwapa machangudoa hiyo kazi. Jinsi ulivyoshindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili, inaakisi ulivyo mtupu kichwani.
kwa hiyo wewe kwa akili zako kati yako na zuchu (unayemuita changudoa ) nani anawainspire zaidi vijana na watoto hapa africa mashariki? kichwa maji wewe!
 
Nikisikia tu unaitwa profesaa najua hamna kitu kichwani
 
Serikali na hasa ya maprof na madoc huwa inakufa na tai shingoni, haiwezi kuupokea huu ushauri, ila Zuchuna wale walimu wawili wanaweza kusyndicate wakaingiza content ya kitaaluma kwenye tune na beats huo muziki maisha yakaenda
 
Mtoa mada mjinga sana,
Kwa hiyo unataka watoto wafundishwe masomo ya darasani kwa kuimba?
Hujui kama hiyo ndiyo moja ya teaching and learning methods yenye nguvu sana kwa watoto!?
 
Yeye ana elimu gani? Hayo mashetani waliochukua kwa Jamaa ndo unayaona mali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…