Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Serikali kaeni chini na Zuchu awasaidie kuboresha elimu

Elimu ni teaching and learning, ukifeli hapo hakuna elimu. Wenzetu wanafundisha watoto coding kuanzia lower grades uku kumejaa watu wanaofikiri kama wewe unapiga marufuku watoto kugusa devices kuwa wataharibu.
Zuchu kwako ni changudoa ila watoto wanaimba na kucheza nyimbo zake. Jifunze kufanya analysis ya kila information unayokutana nayo itakusaidia sana hata kulea watoto wako.
Unaona ulivyo mjinga. Umalaya wa Zuchu ndiyo coding? Kukata mauno ni coding? Hakuna mtu anayeupinga mfumo wa elimu wa Tanania kama mimi lakini hatuwezi kuuboresha kwa ku-sub contract kwa machangudoa watusaidie. Watoto kuimba na kucheza nyimbo zake ndiyo kuonyesha ni mtaalam? Ficha ujinga wako. Mtoto ukimzoesha mambo ya kijinga atazoea na kuona ndiyo ya maana. Na mimi sipingi watoto kufurahi na kuimba ila napinga vitu wanavyojifunza kwenye hizo nyimbo. Sijawahi kuona mtu mwenye mawazo mgando kama wewe. Nimeishi nchi zilizo na mifumo bora kabisa ya elimu kwa watoto na naelewa nachosema.
 
Siopoa kumuita changu binti wa watu
 
Zuchu huyu ambaye ana kakaake marehemu Omari kopa na mama yake khadija akawafundishe wanangu?
Tafadhali we jamaa embu punguza ujinga kidogo.
Labda km kuna somo la kuliwa mitaro.
Maana shule km shule huyo zuchu hana.
 
Najua hauna ubongo wakuweza kuchakata nilichokindika. Ungekuwa na nia ya kujifunza ningekuelewsha ni namna gani watu walioendelea wana design mitaala yao.

Ila kwa kuwa unatumia style ya kuchamba hayo mambo nimewaachia nyie mademu mimi siwezi kusutana.
 
Zuchu huyu ambaye ana kakaake marehemu Omari kopa na mama yake khadija akawafundishe wanangu?
Tafadhali we jamaa embu punguza ujinga kidogo.
Labda km kuna somo la kuliwa mitaro.
Maana shule km shule huyo zuchu hana.
Mtoto ana mwaka mmoja anakaa anamsikiza Zuchu na anafatisha anachoimba. Nchi za wenye akili wanaanzia hapo kufikiria. Ila waswahili Mungu aliwanyima maarifa sio kosa lenu.
 
Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.
Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.
Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Watoto wanaziimba mstari wa kwanza mpaka wa mwisho ni mpaka Kenya uko. Ipo sababu maana hakuna anaekaa chini akawafundisha nchi nzima watoto kuimba nyimbo za Zuchu. Why only Zuchu? Ni swali la kujiuliza.

Wizara ya elimu inaongozwa na professor ambae pia ndio aliotoa tamko la kushusha vyeo walimu.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanacheza na kuimba kwa furaha wimbo huo angefanya critical thinking na kutafuta sababu kwa nini watoto wamevutiwa na huo wimbo ila yeye katika fikra zake aliona suluhu la kuzuia wimbo wa namna hiyo ni kuvua vyeo walimu. Baada ya hapo? Hawezi fikiri zaidi.

Tuna aina hiyo ya maprofesa kwenye nchi yetu wanachoweza ni kuvaa suti na kutishia watu vyeti.
Hakuna professor wa kitanzania aliyegundua formula wala model au falsfa au item ikasaidia watanzania wao wanachoweza ni kukariri vya wenzao kwa level kubwa na kufaulu mitihani.

Nchi za wenzetu kwa sasa wametoka kwenye ufundishaji wa kumezesha watoto. Mwalimu anakaa mbele anaimba aaaa eeee iiii oooo uuuu wenzetu washatoka uko, wapo kwenye learning through play. Mtoto anajifunza kwa michezo na nyimbo. Darasa linajaa makolokolo ya kuchezea na kuimba mwanzo mwisho madaftari yanaguswa kidogo sana. Sio kama uku katoto ka lower primary unakuta kana begi kuuubwa kanaenda kumezeshwa shuleni spoon feeding ubongo hauchangamki hajifunzi kuadapt mambo mapya.
Nilitegemea professor baada ya kuona watoto wanainjoi wimbo angeanzia hapo kutazama ni namna gani mtaala wetu unaweza ingiza kujifunza kwa kutumia nyimbo zenye maudhui ya Zuchu. Mnaweza kukaa nae mkapata moja mbili kwa nini nyimbo zake ni addictive kwa watoto. Tuna waimbaji wengi ila kwa nini yeye anakubalika na watoto ndivyo watu walioendelea wanavyofanya innovations.

Ubaya wetu waswahili siku zote tunawaza kubomoa badala ya kujenga.
Hakuna mwalimu wala mzazi anaweza mzuia mtoto kuimba nyimbo za Zuchu hakuna. Hawa watoto hakuna anaewafundisha kuziimba mtatafuta watu ubaya bure maana huwezi niambia mtoto wa miaka 2 kafundishwa ni ubongo wake umeweza ku-catch wenyewe.

Wasomi uko serikalini kaeni na Zuchu awasaidie. Kwa sasa mmebadili mtaala ila kama mindset ndio hizi zinazosimamia elimu hakuna kitachobadilika kwenye elimu yetu. Msipende kujificha kwenye kichaka cha maadili tumieni maarifa. Hamkuwa maprofesa ili mfanye kazi kwa mfumo wa kipolisi.

Weekend njema!

Hii ni kweli, nadhani hapa ndo shida, optimistic vs pessimistic views on glass of water?
1: a glass is half filled
2: a glass is half empty

Kwa wenzetu wangeweza kutengeneza kitu chanya zaidi kunufaisha jamii. Mfano: kwenye mfumo wa elimu kuna kitu cha kusisimua kinachomfanya mtoto apende mazingira ya shule na vilivyopo? Kama vipo au havipo tumia influence hiyo kuboresha.

Kufurahi huleta vichocheo chanya kwenye mwili/happy hormones. Hapa mtoto anafurahi na kuwa na faraja, baada ya hapo anasoma kwa amani.

Ni tegemeo la mwalimu mtoto atapenda shule na mazingira ya shule pia. Hivyo, ufundishaji kuwa mwepesi pia. Watu wako very serious na kila kilicho mbele yao maishani hivyo wanataka kila mtu ayachukue hivyo maisha kama wao, matokeo yake tunatengeneza jamii iliyojaa depression vs anxiety na hawawezi kuhoji chochote.
 
Bongo ukiwa na uwezo mkubwa wa kukariri madesa, ndiyo unaonekana eti una akili. Maana utafaulu mitihani ngazi zote. Na mwisho wa siku ukipewa nafasi ya kiuongozi, matokeo yake ndiyo haya sasa ya akina Profesa Mkenda.
 
Kuna kikubwa umeongea. Nadhani unaungana namie pia na Elon Musk alivyosema kuwa shule haitakiwi oonekane Kama adhabu ama kazi kwa mwanafunzi. Akasema kuwa shule inatakiwa iwe Kama video get Mana huwa haumwambii mwanao kuwa akacheze video game ,hii Ni kwa pote hata kazini.kuna watu wanafanya kazi huku mioyoni mwao hawana furaha kabisa
 
Elimu inaboreshwa kwa serikali kuwa na mfumo mzuri, shule nzuri na waalim wazuri wenye utalaam wa kufundisha na siyo kuwapa machangudoa hiyo kazi. Jinsi ulivyoshindwa kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili, inaakisi ulivyo mtupu kichwani.
kwa hiyo wewe kwa akili zako kati yako na zuchu (unayemuita changudoa ) nani anawainspire zaidi vijana na watoto hapa africa mashariki? kichwa maji wewe!
 
Nikisikia tu unaitwa profesaa najua hamna kitu kichwani
 
Nimeona baada ya video ya watoto wa shule ya msingi wakionekana wakiimba na kucheza nyimbo ya Zuchu serikali imetoka na kuwashusha vyeo walimu wakuu wa shule hizo.

Nimeshangaa sana kwa hatua hii ya serikali maana ni ya kukurupuka na hawajatumia maarifa.

Kwanza naomba niwafahamishe kuwa nyimbo za Zuchu ni kama national anthems kwa watoto wadogo, sio hii Honey tu, karibu zote kuanzia Sukari, Kwikwi nk.
Serikali na hasa ya maprof na madoc huwa inakufa na tai shingoni, haiwezi kuupokea huu ushauri, ila Zuchuna wale walimu wawili wanaweza kusyndicate wakaingiza content ya kitaaluma kwenye tune na beats huo muziki maisha yakaenda
 
Mtoa mada mjinga sana,
Kwa hiyo unataka watoto wafundishwe masomo ya darasani kwa kuimba?
Hujui kama hiyo ndiyo moja ya teaching and learning methods yenye nguvu sana kwa watoto!?
 
Yeye ana elimu gani? Hayo mashetani waliochukua kwa Jamaa ndo unayaona mali?
 
Back
Top Bottom