Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.

Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.

Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha vyama vya siasa na tulishuhudia siasa pinzani zenye hoja ,ustahimilivu na malengo makubwa ya kushika dola.
Kwa sasa tuna ombwe la vijana wanasiasa wanaotembea na hoja mujarabu.
 
Vijana wenyewe ndio akina Abdul wanaonunua vigae vya bilioni 1 huku kazi rasmi wanayofanya haijulikani.?
 
Utter nonsense! Fazafaka wa Kizimkazi anaponufaisha familia yake na mtandao wa majambazi wenzake ndio siasa kwa maendeleo ya taifa?
Punguza hamaki ukiwa kwenye platform ya majadiliano
 
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.

Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.

Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha vyama vya siasa na tulishuhudia siasa pinzani zenye hoja ,ustahimilivu na malengo makubwa ya kushika dola.
Kwa sasa tuna ombwe la vijana wanasiasa wanaotembea na hoja mujarabu.
Nyie chawa mnajiona wazalendo kuliko watanzania wenzenu wote.
 
Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.

Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.

Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha vyama vya siasa na tulishuhudia siasa pinzani zenye hoja ,ustahimilivu na malengo makubwa ya kushika dola.
Kwa sasa tuna ombwe la vijana wanasiasa wanaotembea na hoja mujarabu.
uko sahihi 100%,

vyama vingi vya siasa hivi sasa vinafundisha vijana wao mihemko, chuki na matusi zaidi, badala ya kuwaelekeza namna ya kujenga na kusimamia hoja, namna ya kua wastahilivu, wenye subra na nidhamu katika majadliano mitandaoni na kwenye majukwaa mbalimbali ya kisiasa n.k🐒
 
Back
Top Bottom