Utter nonsense! Fazafaka wa Kizimkazi anaponufaisha familia yake na mtandao wa majambazi wenzake ndio siasa kwa maendeleo ya taifa?madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.
Nyeupe ni nyeupe, nyeusi ni nyeusi.Punguza hamaki ukiwa kwenye platform ya majadiliano
Nyie chawa mnajiona wazalendo kuliko watanzania wenzenu wote.Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.
Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.
Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha vyama vya siasa na tulishuhudia siasa pinzani zenye hoja ,ustahimilivu na malengo makubwa ya kushika dola.
Kwa sasa tuna ombwe la vijana wanasiasa wanaotembea na hoja mujarabu.
uko sahihi 100%,Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa.
Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa.
Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha vyama vya siasa na tulishuhudia siasa pinzani zenye hoja ,ustahimilivu na malengo makubwa ya kushika dola.
Kwa sasa tuna ombwe la vijana wanasiasa wanaotembea na hoja mujarabu.
Kujiamini na kutokuwa na hamaki sio kuuzia watu upumbavu. Huo wauzie ng’ombe wa mama wenzako!hamaki na kutojiamini inaweza kutambulika kirahisi kwenye posts zako
Serikali ni kama Bisexual?Serikali ni kama baba na mama