chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 27, 2024 #21 Wachawi wataendelea kushamiri kwa sababu wanatetewa sana, lakini waganga kila siku wanaandamwa, hata umkamate kive, hakuna kesi
Wachawi wataendelea kushamiri kwa sababu wanatetewa sana, lakini waganga kila siku wanaandamwa, hata umkamate kive, hakuna kesi
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Jul 27, 2024 #22 GENTAMYCINE said: Na kila Jumamosi au Jumanne Queen Sheeba akiwa Dar es Salaam jamaa huitwa kwenda kumumbea pale Baharini. Click to expand... Sasa kama code hizo unazo kwanini unahoji. Ana nguvu anaweza kusema hii shule ya feza ihamishwe nimeonyeshwa na Mungu Kuna mafuriko yatakuja.
GENTAMYCINE said: Na kila Jumamosi au Jumanne Queen Sheeba akiwa Dar es Salaam jamaa huitwa kwenda kumumbea pale Baharini. Click to expand... Sasa kama code hizo unazo kwanini unahoji. Ana nguvu anaweza kusema hii shule ya feza ihamishwe nimeonyeshwa na Mungu Kuna mafuriko yatakuja.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Jul 27, 2024 #23 GENTAMYCINE said: Kakataa kuwa sehemu ya Kampeni ya Queen Sheeba kwa mwakani na Kuchangia mchango wa Saidia Chama chetu. Click to expand... Basi huyo tapeli ni mpumbavu. Itamgharimu sana. Mwenzake Suguye mjanja. Tayari kasema ameonyeshwa mshindi wa Urais 2025 ni mwanamke aliyevaa nguo zinazofanana na jezi ya Yanga.
GENTAMYCINE said: Kakataa kuwa sehemu ya Kampeni ya Queen Sheeba kwa mwakani na Kuchangia mchango wa Saidia Chama chetu. Click to expand... Basi huyo tapeli ni mpumbavu. Itamgharimu sana. Mwenzake Suguye mjanja. Tayari kasema ameonyeshwa mshindi wa Urais 2025 ni mwanamke aliyevaa nguo zinazofanana na jezi ya Yanga.
B bongodili tele JF-Expert Member Joined Jun 8, 2024 Posts 1,520 Reaction score 3,022 Jul 29, 2024 #24 Kiboko kapigwa fitina na wenzake ambao ni makada alikuja speed mda mfupi angeaharibu biashara za watu,dogo ilitakiwa awe anapeleka mrejesho.
Kiboko kapigwa fitina na wenzake ambao ni makada alikuja speed mda mfupi angeaharibu biashara za watu,dogo ilitakiwa awe anapeleka mrejesho.
B bongodili tele JF-Expert Member Joined Jun 8, 2024 Posts 1,520 Reaction score 3,022 Jul 29, 2024 #25 Haya mambo hata ulaya yapo ni wewe tu ufate Nuru au Giza, serikali haina kipimo cha kupima mafundisho sahihi ni yapi
Haya mambo hata ulaya yapo ni wewe tu ufate Nuru au Giza, serikali haina kipimo cha kupima mafundisho sahihi ni yapi
C chambo rashidi Senior Member Joined May 30, 2018 Posts 140 Reaction score 170 Jul 29, 2024 #26 Acha wajinga wapigwe pesa
Eagle girl JF-Expert Member Joined May 1, 2024 Posts 299 Reaction score 462 Jul 29, 2024 #27 Kuna mwingine kafika morogoro na Op. Rudisha misukule, ulinzi mkali anapewa salute kabisa
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Jul 29, 2024 #28 Kazi kweli kweli.