Na wewe ndo watu wale wanaofanya kazi kwa bidii hadi wanapostaafu na bado hawana vitu vinavyozalisha pesa wanabaki kutegemea social security. Pia hakuna muujiza kwenye kufanya pesa awe mfanyakazi wako.Wewe ni muumini wa miujiza,hauna imani kuwa mafanikio ni mchakato.
Nakushauri ungana na matahira wale wa KAWE ukapakwe mafuta ya bukubuku huwenda ndoto zako zikatimia.
#kupanga ni kuchagua!!!
Safi sana. Yeah. Vijana wajivike "joho la ujasiri" na wajitose kikweli-kweli kujaribu kila aina ya fursa itakayopita mbele yao. Wasione haya au haiwezekani.Mikopo haitakufikisha mahali sanasana itakufilisi,tafuta ujuzi hakuna mtu mwenye ujuzi analia njaa.
Soma post #26 hujachelewa chukua hatua.
#kupanga ni kuchagua.
Wewe ni mtanzania halisi. Unaonea wivu hadi matatizo. Hutaki kuona unashindwa hata kwenye kupitia msoto. Hii ni laana kwa taifa. Tunajivunia kupitia kwenye taabu utadhani tumelogwa.Hujapitia msoto wewe. 27 umeajiriwa leo unawaandikia watu, mimi 28 sijui hili wala lile. Mzee chwaaaaa. Alafu ndio tegemezi, matokeo ya chuo ndio yametoka ijumaa, jumanne mzee chwaa presha. Sijui mbele wala nyuma. Madogo watatu wote wako shule. Mama haelewi. Msiba umeisha kila mtu na kwake. Hajira hakunaaaaa. Pesa hakuna. Sikiliza. Shukuru kama ulipenya ukaajiriwa early hivo. Wenzako tungekua hapo mpaka leo hata ajira hatujapata. 2 years down grinding na mabarua.
Ndugu. Vijana watajikwamua tu, hamna anayeenda jela. I am ot of figures in cash now.
Watapambana whatever the situations, usiwakatishe tamaa za jera sijui.
No sweet without sweat!!!Mkuu ujuzi wa kufanya pesa ikufanyie kazi haina uhusiano wowote na hisabati. Na ni wachache sana wana ujuzi huu kwakuwa haufundishwi mashuleni na pia ujuzi huu unamfanya mtu aingize pesa bila kujichosha.
Make money work for you.
Soma kitabu cha the RICHEST MAN IN BABYLON utanielewa.
Boss umesema vyema. Nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi. Kiuhalisia nilikubaliana na mshahara japokuwa ulikuwa hautoshi. Nilipiga kazi sana. Ndani ya miaka miwili nikafika hadi kuwa mkuu wa idara.Hao mnaita wawekezaji ni makanjanja,mtu anaanzisha mradi anaajiri watu wa hovyohovyo ili awalipe kidogo.Hakuna upuuzi kama huo ajiri watu serious wenye ujuzi husika pia walipe vizuri weka management uone kama ptoject yako haitaenda vizuri.
Ila unaokoteza huko warugaruga unawafanya mashamba boy wako lazima kikurambe tu😄😄😄.
Mafanikio ni mchakato,hakuna shortcut kwenye maisha. Bisha kikurambe!!!
#kupanga ni kuchagua!!!!
Maboss wengi wanatamaa wanataka superprofit kwa kipindi kifupi kwa kuwakandamiza wafanyakazi wao mwisho wa siku wanaua nguvu kazi,kuwavunja moyo wafanyakazi wao na kuishia kuuwa biashara au project zao.Boss umesema vyema. Nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi. Kiuhalisia nilikubaliana na mshahara japokuwa ulikuwa hautoshi. Nilipiga kazi sana. Ndani ya miaka miwili nikafika hadi kuwa mkuu wa idara.
Kwenye kampuni za wahindi kuna utaratibu wa kuandika advance salary. Kuna siku nikachungulia advance salary ya muhindi mmoja ambaye kiuhalisia alikuwa anaripot kwangu. Ile advance salary yake ilikuwa ni mara tatu ya mshahara wangu. Aisee nilijisikia vibaya Sana.
Nilikuwa mtu wa kuingia kazini kabla ya saa mbili na kutoka kwa kuchelewa kuhakikisha hakuna kiporo cha siku husika lakini baada ya kuona unyonyaji huo ilinikata morale kabisaa. Sikukaa muda mrefu niliachana nao.
Mkuu mi siidharau kazi yeyote ila kama kijana anafanya kazi ya kijungu jiko tena kwa bidii sana basi aweke akiba ya fedha anazopata then awekeze sehemu atakayoona inamfaa.No sweet without sweat!!!
Nimekusoma wewe hutaki kuvuja jasho wala kazi za kutumia nguvu hata kidogo unataka maisha ya maCEO😄😄😄 keep dreaming bwana mdogo.
Drop your EGO na utaanza kuona fursa bwana mdogo kila kazi/biashara unayoiona ya kidhalili haina hadhi basi jua hapa ndipo utajiri ulipo jificha.Shtuka wamewabrain wash huko mashule kuwa nyie kazi zenu ni whitecolor jobs tu!!!
#kupanga ni kuchagua!!!
Kiukweli vijana wanapitia changamoto nyingi sana mpaka huruma.
Nikikumbuka niliyopitia mimi ndani ya miaka sita bila ajira da mwingine hawezi.
Nimefanya vitu vingi nimelima ,nimekata mkaa, nimeuza dagaa ,nimesaidia fundi, nimeuza vyuma yaani naokota mtaani naenda kuuza.,nimetembeza njegere dar kwa kichwa, nimeuza ndizi natoa mabibo nakuja kuuza mbagara nadhani kuna baadhi humu wanaweza kunifahamu.
Hasa wale wanaoishi kongowe ya kuelekea vikindu,mbagala kibondemaji huko nimeuza sana ndizi mbichi natembeza kichwani, mitaa ya kurasini mji mpya kwa tesha, kiburugwa na mitaa mingi tu hapo dar.
Ila nimechojifunza vijana tusichague kazi na wala tusikate tamaa. Ipo siku mungu atawakumbuka.
Private sector kuna uozo mkubwa. Ile kampuni ulikuwa huruhusiw kuwa hata kwenye chama chochote cha wafanyakazi. Dhumuni lao, unyonyaji wao usiingiliwe.Maboss wengi wanatamaa wanataka superprofit kwa kipindi kifupi kwa kuwakandamiza wafanyakazi wao mwisho wa siku wanaua nguvu kazi,kuwavunja moyo wafanyakazi wao na kuishia kuuwa biashara au project zao.
Shule zenyewe hazina elimu ya kutosha kuhusu fedha 🤣🤣Imeandika vizuri ila hapo uliposema kwamba kuna vijana wataanza kutokuwapeleka watoto wao shule inaonesha ni kwa namna gani watu hawana elimu ya kutosha kuhusu swala la fedha na shule.
Wewe ni mpumbavu watoto wako usiwapeleke shule Aya mbili hao hao unaowasema mfano msukuma, shilole Ata diamond watoto wao shule wanazosoma ni 6milion and above basi si wangeibeza elimu kisa wanafedhaKwa hali hii kugharimia mtoto masomo katika mfumo rasmi ni kutapeliwa fedha na kumharibia mtu future.Kijana aliyekulia mtaani kajifunza fani mbalimbali mbona anaonekana successiful kuliko aliyepitia elimu rasmi?
Kwahiyo swala la ajira litaendelea kusubiri🤣🤣Mwaka huu kuna uchaguzi mkuu. Matumizi ya pesa mwaka wa uchaguzi huwa yanaelekezwa zaidi kwenye kuipata serikali mpya.
Endelea kuwaza kuendesha Escalade au rozirozi kama Mondi ila tambua hakuna cha bure hapa duniani.Na wewe ndo watu wale wanaofanya kazi kwa bidii hadi wanapostaafu na bado hawana vitu vinavyozalisha pesa wanabaki kutegemea social security. Pia hakuna muujiza kwenye kufanya pesa awe mfanyakazi wako.
Hatujifunzi. Tunasubiri yatokeeNa Kwa population hii ,majitu yanazalisha kama Panya ,soon tutakuwa kama Nigeria , vibaka na wahalifu kila kona
🤣🤣🤣 kuna muda unamshangaa kijana. Anaamini kuteseka napo ni tuzo. Unakuta mtu anakwambia hujateseka kuliko Mimi, aiseeeWewe ni mtanzania halisi. Unaonea wivu hadi matatizo. Hutaki kuona unashindwa hata kwenye kupitia msoto. Hii ni laana kwa taifa. Tunajivunia kupitia kwenye taabu utadhani tumelogwa.
Hii UTT niliifatatilia, nikaona ni sehem ya kuniongezea umasikini. Sikuona faida yake. Inahitaji wawekezaji wakubwaEndelea kuwaza kuendesha Escalade au rozirozi kama Mondi ila tambua hakuna cha bure hapa duniani.
Za kusoma kwenye vitabu vya motivation speaker changanya na za kwako.
Hivi wewe kwa akili yako unahela gani ya kuwekeza ili wewe uwe unakaa tu nyumbani hiyo hela yako iwe inajizalisha😄😄😄. Bwana mdogo shtuka hao wanawaandikia stori za mafanikio ili wauze vitabu.
Mfano UTT. Ukiwekeza millioni 100 kwenye mfuko wa liquid bond kwa riba ya 14% return yake ni 12millioni na ushee(point) kwa mwaka au 1million na point kwa mwezi.Ambayo hii pesa ya kubadilisha mboga tu and again hiyo million 100 unayo😂😂😂. Sasa hii biashara ni kwa watu wenye pesa zisizo na kazi ila wewe maskini mwenzangu huku unaweka hela kama unayo ila usitegemee utajiri wowote labda kwa wajukuu na vitukuu vyako ndo watakuta hela imejizaa vya kutosha🤝
Tafuta ujuzi kuna pesa nyingi kwenye ujuzi kijana weka usuperstaa pembeni🤝
#Kupanga ni kuchagua!!!
These is a mediocrity kabsa Yani kuteseka anaona sifa🤣🤣🤣 kuna muda unamshangaa kijana. Anaamini kuteseka napo ni tuzo. Unakuta mtu anakwambia hujateseka kuliko Mimi, aiseee