Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa


Hapa ndio unapoona wabongo wengi ni masnitch tu, we umepita tu hizi ndio comment na ushauri wako, mbona ushauri waboreshe maisha yao halafu ndio watoze kodi wekezeni kwanza, watake radhi huo sio ushetani shetani ni wewe uliepita usikokujua.

ubakaji ungekuaje kama wasingekuwepo we Athumani kichwa akisimama wee bhana, we fanya yako ya ngoswe mwachieni ngoswe. uchumi huu wewe utasomesha watoto wao.
 
Mkuu taratibu Valentine imekarabia ni kesho kutwa tu subiri ipite
 
Uzi bila picha haunogagi hara robo weka kapicha mkuu
 
Kuzuia ngono ni kazi kubwa, maana hata mzuia ngono na yeye anatamani apewe ofa hata round moja
Biashara yo yote ni uwepo wa wateja. Na wateja wa hawa dada poa ni wanaume. Kwa hiyo, wanaume wangesitisha ununuzi wa huduma ya hawa dada, biashara hii ingekufa! Kuna sehemu pale Moshi mjini tena mtaa wa Malindi Bar, kuna idadi kubwa sana ya hawa dada. Pia Arusha mitaa ya MRINA na PICNIC ni kero kubwa sana kuanzia asubuhi hadi usiku. Kwa hiyo, wanajulikana lakini sijui sheria inasema kuhusu hii biashara. Kuna mtu aliwahisema kuwa wanapokamatwa hufunguliwa kesi ya uzururaji ambayo adhabu pia ni ndogo!
 
Bonde la Baraka,
We unaenda kufanya nini huko kwenye biashara hiyo?
Kuna mtu aliwahiniambia kuwa hata watumishi wa serikali na wanafunzi wa vyuo vikuu wanafanya biashara hii ila wanatofautiana approach wanayotumia kuwapata wateja. Lakini mjini hata maeneo ya kISUTU hapo wapo madalali ya biashara hiyo!
 
Kwa nini serikali isiwatengee maeneo maalumu kama inavyofanya kwa wamachinga nao waweze kuenjoy biashara yao ? Iwape na EFD machine kabisa ili mapato yawepo kupitia kada hiyo , uchumi wetu hautategemea tena wafadhiri .
Kila mji machinga wametengewa eneo lkn hawatulii kwenye maeneo yao. Muda wote wako mitaani
 
Hilo la kawe liko maeneo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku Maofisini kuna wadada wengi tu wanajiuza.... sema ndio hivo tu.... avumaye baharini Papa....!
Hi biashara ngumu sana kuikomesha,, achana na hao wa balalani na bar vip wale wa mtandaoni mnawasiliana anakupa location unajitupa.utampata vip kumzuia au kuchukua mapato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wakujiuza wananizamu sana na destination wanazofanyiaga business, so imani angu hawatakuwa kama hawa machinga, [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mzee Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aliwahiwambia Wandishi wa Habari kuwa alishindwa kuzuia biashara ya ngono Mitaa ya OHIO, GHANA, KINONDONI nk kwa sababu kuna idadi kubwa ya wanaume wanaohitaji hiyo huduma.
 
Mzee Yusufu Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aliwahiwambia Wandishi wa Habari kuwa alishindwa kuzuia biashara ya ngono Mitaa ya OHIO, GHANA, KINONDONI nk kwa sababu kuna idadi kubwa ya wanaume wanaohitaji hiyo huduma.
Yawezekana nayeye alikuwa anapata bidhaa kutoka huko
 
Sisi wanaume tuache kununua hiyo bidhaa na wao wataacha kuuza,kwani biashara itakuwa mbaya na watafuta kazi ya kufanya.Kwa hiyo sisi wanaume tuache kuanzia leo ndai ya siku 3 biashara hii itakoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana.

Ununuzi wa papuchi umekithiri kwa bei ya jumla na rejareja
 
Sijui ulisomea shule gani?
Biashara hii ikifungwa INTROVERTS wote na madomo zege watabaka watoto wetu wadogo.
Danguro ni presha valve kama pombe.
Enzi za Nyerere, Mkuu wa mkoa wa DSM kwa jina la Rwegasira alitaka kuwaondoa wauzaji wote na kuwarudisha kwao.

Habari zikamfikia Kambarage. Akamwita RC. Akamuuliza ukishawarudisha unataka hao wateja wao waende wapi? Wabake wake za watu? Pia akamwambia hata waliooa lakini wana matatizo ya ndoa hujipoza huko.

Zoezi la kuwaondoa lilifia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…