Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa


Nakazia na wapiga debe pia. Maana wote hawa ndiyo wale wapiga kura wetu. Ndiyo waliotuweka madarakani - wasibughudhiwe.

TWAWEZA waliyaona haya.
 
Aisee mungu atusaidie
 
Maswali ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

NI wazo zuri ila serikali kuhalalisha umalaya si wazo sahihi kwani kodi watakayolipa pengine haitalingana na kipato chao.

Mnatakiwa watanzania wachache kama wewe wenye muono kama wako kuanzisha taasisi ya kushughulika na mambo kama haya.

Na si lazima uombe fedha serikalini pekee waweza hata kuomba fedha kutoka vyanzo vya nje ya nchi na ukafanikiwa cha msingi ni uamini fu na lengo lako.

Kwanza, umalaya unahusisha usafirishaji wa binadamu yaani wasichana wadogo, udhalilishaji wa kijinsia,matumizi ya madawa ya kulevya, mimba za bila kupangwa na madudu mengine,

Pili kwenye mfumo wa kijamii umalaya huleta ushawishi mbaya kwamba ndo dili mjini hivyo hapo ndipo serikali inapotakiwa kushughulikia hii kwa kuweka sheria inayomlinda malaya na hata huyo mnunuzi wa huduma.

Mambo yafuatayo yanapaswa kutekelezwa ili kuhakikisha malengo yako yanatimia:

1.Malaya wote wanatakiwa kuandikishwa na kupewa vitambulisho.

2, Majumba na sehemu zote zinazohusiana na umalaya zijulikane na zitozwe kodi kubwa kulingana na mapato yao.

3, Iwe ni kinyume cha sheria kujitangaza hadharani

4. Vituo vya afya viwe na taarifa zote muhimu za wagonjwa wanaotokana na shughuli za uzinzi na umalaya.

5. Mayala wote waweke taaarifa za kumbukumbu za walotembea nao.

Ukiweka sheria ndogondogo kama hizi zinaweza kupunguza kidogo kasi ya ukuaji wa haya mambo.
 
Duniani kote hii biasharainafanyika, vita yake ni ngumu sababu inafanywa kwa siri sana. Hauwezi kumkuta mdada wawatu kakaa sehemu ukasrma anajiuza hadi umkamate akilipwa hela ama anafanya kitendo kile. Pia kama hakuna wanunuzi basi biashara itakufa yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli kbsa....
Mfano Bangkok, kna sehemu kna jengo linaitwa Nana plaza hpo kna malyaa balaa wanajiuza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni kweli inafanyika lakini si siri sana kwani vyombo vyote vya sheria na sheria zinawalinda wahusika yaani muuzaji huduma na mnunuzi na kuna sehemu maalum za kufanyia huo ufedhuli.

Ila sheria hizo zinakataza kupigia debe (waitwa pimps) wauzaji, au kufanya shughuli hizo kwenye makazi ya watu.

Ndo maana ukienda kwenye miji kama Amsterdam wanayo sehemu maalum za mambo hayo pia hata London, Stockholm na miji mingine mikubwa.

Ila kama nilivyosema hapo juu kwamba hakuna kushadadia au kupigia debe hiyo ni makosa na waweza kamatwa na polisi.
 
Mkuu huo ni utalii was ndani.hapo ungeomba waiongeze hiyo mbuga katika hifadhi maalum,mi uwa nachukua wife tunaenda kutalii sehemu tofauti usiku.ila wakati mwingine tunatukanwa wakimuona wife kwenye gari na wakati mwingine inaweza kumuona mke wa flani pale,so ndo dunia bana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh hadi kawe? Sehemu gan tena hiyo yapo? Ukwaman? Mzimuni? Ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…