Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Tufunge biashara zao zote TZ. Hakuna kuuza wala kununua. Inawezekana ktk biashara hizo wakatufanyia hata hujuma. Ili kuonesha kuwa TZ kuna maambukizi makubwa ya Corona.
Tanzania haitegemeni uwepo wa Kenya nayo iwepo. Kwa miaka mingj hawa jamaa wamekuwa wakituona Tz kama wanyonge wao sana.hatuwezi acha hali hii iendelee.
Kwa sasa hakuna tunalotegemea Kenya kusema kuwa tutaathirika sana ikiwa sote tutaamua kuuonesha uanaume.
Heshima haiji isipokuwa kwa kujiheshimu kwanza. Jamaa wameongea sana,wametuponda sana kwa dharau.sasa ufike wakati. Waelewe kuwa hata bubu kuna hatua akifika anaweza tamka maneno machache.
Tufunge mpaka, tuwaambie waTZ walioko Kenya warudi Tz na Wakenya waliopo Tz warudi kwao. Tuagane kwa amani tu maana tunakolekea tunafahamu jinsi Wakenya walivyo Violent. Wanaweza anza wadhuru watu wetu kule kwao.
Pia tuzuie bidhaa kutoka na kuingia Kenya. Tubaki kwetu na vyetu na wao wabaki kwao na vyao. Kwa hali iliyopo sasa ni vyema kila mtu ashike hamsini zake.
Na kwa wale Watanzania wanaodhani wao wana Ukenya mwingi ndani yao wahamie Kenya tu, maana kuna wapuuzi ambao wanapenda sana kujipendekeza mataifa mengine.
Katika hili tunasimama kama Watanzania vyama ni vya baadaye sana.