Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao

Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao

Nilianza kumdharau Kenyatta pale alipomtumia maua malkia wa uingereza maua kwa kutumia ndege nzima ya serikali huku akiwanyima usafiri wakenya waliokuwa wuhan china..
Hata hizi data za corona wanazopika kila siku ni usanii tu wa kutaka favor ya wazungu...corona is a hoax godamit

Maua ni bidhaa za biashara. kwa ile ilikuwa cargo.
 
Tunaweka kumbukumbu sawa.
Wamekufa 341.
Screenshot_20200801-124925.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Una kichwa kidogoo. Eti wanategemea bidhaa from Kenya kuliko bongo. Au Sertorius?
Kuna sehemu gani hapo nimesema wanategemea bidhaa zaidi Kenya kuliko Bongo? Ulienda shule wewe? Au Sertorius ndio nini?
 
Baya moja, huharibu mazuri yote...

Hii ni kanuni ya Kimungu kabisa...

Chachu ndogo huchachua donge zima....

Ukikosa katika moja, umekosa katika yote...

SULUHISHO: Kiri na fanya toba kw a kosa ndogo, kisha songa mbele...

Utakuwa ni ujinga kutoelewa hii kanuni muhimu ya imani na maisha kwa ujumla...

Na hiki ndicho kinachotufanya tufeli....
tukiri na kufanya toba kwa nani na kwa kosa gani tuliofanya? ukiwa kijana mnafiki, ukizeeka utakuwa mchawi tu.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.

My point usijfananishe nao kabisa. Wao ni super powers.
 
Haya ni mawazo yako, huenda ni kweli kwako na wengine, ila sio watanzania wachache.

Nafurahi umemtaja Mungu mara kibao kwa comment yako.

Swali ni je, Maandiko yanasemaje juu ya adui? akikupiga shavu moja unafanyaje .......? Akikunyang'anya kazu, mpatie na nini .......?

Tena maandiko (Warumi 12:14) yakaenda mbali na kusema, "Wabarikini wanaowaudhi, barikini wala msilaani".

Maridhiano ni muhimu kwa usitawi wa jamii zetu. Ubabe na kiburi sio sawa. Yako mengi yalipaswa kufanyika kwanza kabla kurukia uamuzi huo.

Unataka yawe mawazo ya Watanzania wote? !!.
Fafanua sijakuelewa.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.
Nimesema kenya ni super power? Inaonekana hata hukuelewa point yangu.
Namaanisha wao ni nchi zenye uwezo wa juu. Kwa hiyp level yao ni tofauti na ya kwetu. Nazungumzia china na america. Sijamweka mkenya kwenye superpowers .
 
Sasa u super power wao sisi unatuhusu nini?

Nimesema kenya ni super power? Inaonekana hata hukuelewa point yangu.
Namaanisha wao ni nchi zenye uwezo wa juu. Kwa hiyp level yao ni tofauti na ya kwetu. Nazungumzia china na america. Sijamweka mkenya kwenye superpowers .
 
Wameshaomba poo Wakenya, tuko tunajitafakari kama wanafaa kusamehewa au tuwapotezee kwanza!! Majibu yatatolewa kesho
 
Haya mambo yanahitaji kutatuliwa kwa utaratibu, tunawahitaji kwa ustawi wa wakulima wetu na wanatuhitaji kwa bidhaa za viwandani. Watakaoumia si viongozi bali ni sisi wananchi wa kusifu na kushangilia.

Uzalendo wa namna hii ni uharibifu na wa hatari, USA anaharibu soko la China kwa wakulima wake lakini kwenye bajeti anatenga mabilioni kwa wakulima kama fidia.

Sisi bado maskini sana kuvimbiana namna hii hatukuhitaji kabisa. Maamuzi ya kutumia hisia namna hii bila kufikiria ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu.
Wewe ni masikini siyo sisi ni masikini
 
Naona umeandika kama vile huu ugomvi ni wa familia .
Tell you what ukifanya huo ujinga. First mauzo ya mazao yatapungua.. means wakulima watakuwa hawana faida na mazao yao. Kodi itapungua.. na mzuko wa biashara nchi zote mbili zitapungua.
Hata si mashindano
siyo lazima kuwauzia wakenya mazao
 
Mgogoro wowote ule utatuzi wake unafanyika kwa hatua. Hatua za mwanzo ambazo huwa zinajaribu kulinda uhusiano na masilahi ya pande zote mbili ndizo ambazo hutangulia kupewa kipaumbele.

Ubabe hufuata baadae ikiwa mazungumzo ya mwanzo yameshindikana. Na hatua hii hufuatia baada ya kuangalia ni jinsi gani changamoto zitazotokana na ubabe huo zitatatuliwa.
Hakuna Ubabe hapo. Tanzania imeamua kuwasaidia wakenya kudhibiti Covid 19. nadhani wao walioverlook kuwa wakizuia ndege zetu wakaruhusu za kwao kuja huku ambako mahospitali yetu yamejaa wagonjwa wa korona ni hatari sana kwao.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.

Kenya ni level yetu maana sote tuko uchumi wa kati au huyo mwamba anayebisha hajui kama tuko uchumi wa kati kama kenya?
 
Back
Top Bottom