The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,550
Kwa hiyo kiongozi, kusema Magufuli tu kumekuspa mzio!. Chuki za nini kwa raisi anayefanya mambo makubwa kutoka hasi aliyoikuta? Wapi umeona nimeongea CCM wala Chama Cha Siasa? Mbona mimi sina chama? Ebu angalia vizuri tena kiongozi.
Umaskini hautaisha kwa kukataa kweli ama kwa maamuzi ya mihemuko au kupalilia chuki na matengano. Tuungane na tukubali kutumia taaluma na vipaji vy akila mtu kama vinatuletea maendeleo. Huwezi kuondoa umaskini kwa kukopa fedha za kula. Raisi Magufuli amejikita katika kuimarisha secta ya umma na kujeng amiundo mbinu ambayo ni msingi wa sustainable development.
Hate is fatal.
Naomba ndugu zangu tuwe na focus na nia nzuri. Hakuna mtu asiyejua, hata wenye CCM wanajua kwamba wanatembelea exceptionalism ya Rais Magufuli. Bila Magufuli hakuna ccm wala nini. Hatuwezi kukanyaga neema ambayo Mungu ametupa kupitia rais Magufuli eti tu kwa sababu tutaonekana tunaifia ccm. Vyama vya siasa vipo na vinabaki kama vilivyo lakini tusivifungamanishe sana na vipaji vya watu ambao wakihama wana hama navyo.
Kama asingekuwa raist Magufuli, mtu mwingine yeyote kutoka hiyo ccm tungeshafungwa minyororo shingoni tukikatiza bahari, na mengine mengi yaliyokuwa yanapaliliwa. Tena wapiga debe wasithubutu kumpigia kampeni Membe waije kutukumbusha machungu.
MAGUFULI OYEE!
Baya moja, huharibu mazuri yote...
Hii ni kanuni ya Kimungu kabisa...
Chachu ndogo huchachua donge zima....
Ukikosa katika moja, umekosa katika yote...
SULUHISHO: Kiri na fanya toba kw a kosa ndogo, kisha songa mbele...
Utakuwa ni ujinga kutoelewa hii kanuni muhimu ya imani na maisha kwa ujumla...
Na hiki ndicho kinachotufanya tufeli....