Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Naunga mkono hojaTufunge biashara zao zote TZ. Hakuna kuuza wala kununua. Inawezekana ktk biashara hizo wakatufanyia hata hujuma. Ili kuonesha kuwa TZ kuna maambukizi makubwa ya Corona.
Tanzania haitegemeni uwepo wa Kenya nayo iwepo. Kwa miaka mingj hawa jamaa wamekuwa wakituona Tz kama wanyonge wao sana.hatuwezi acha hali hii iendelee.
Kwa sasa hakuna tunalotegemea Kenya kusema kuwa tutaathirika sana ikiwa sote tutaamua kuuonesha uanaume.
Heshima haiji isipokuwa kwa kujiheshimu kwanza. Jamaa wameongea sana,wametuponda sana kwa dharau.sasa ufike wakati. Waelewe kuwa hata bubu kuna hatua akifika anaweza tamka maneno machache.
Tufunge mpaka, tuwaambie waTZ walioko Kenya warudi Tz na Wakenya waliopo Tz warudi kwao. Tuagane kwa amani tu maana tunakolekea tunafahamu jinsi Wakenya walivyo Violent. Wanaweza anza wadhuru watu wetu kule kwao.
Pia tuzuie bidhaa kutoka na kuingia Kenya. Tubaki kwetu na vyetu na wao wabaki kwao na vyao. Kwa hali iliyopo sasa ni vyema kila mtu ashike hamsini zake.
Na kwa wale Watanzania wanaodhani wao wana Ukenya mwingi ndani yao wahamie Kenya tu, maana kuna wapuuzi ambao wanapenda sana kujipendekeza mataifa mengine.
Katika hili tunasimama kama Watanzania vyama ni vya baadaye sana.
Mazungumzo ni muhimu sana kwani nchi hizi zinategemeana kwenye mambo mengi.Tufunge biashara zao zote TZ. Hakuna kuuza wala kununua. Inawezekana ktk biashara hizo wakatufanyia hata hujuma. Ili kuonesha kuwa TZ kuna maambukizi makubwa ya Corona.
Tanzania haitegemeni uwepo wa Kenya nayo iwepo. Kwa miaka mingj hawa jamaa wamekuwa wakituona Tz kama wanyonge wao sana.hatuwezi acha hali hii iendelee.
Kwa sasa hakuna tunalotegemea Kenya kusema kuwa tutaathirika sana ikiwa sote tutaamua kuuonesha uanaume.
Heshima haiji isipokuwa kwa kujiheshimu kwanza. Jamaa wameongea sana,wametuponda sana kwa dharau.sasa ufike wakati. Waelewe kuwa hata bubu kuna hatua akifika anaweza tamka maneno machache.
Tufunge mpaka, tuwaambie waTZ walioko Kenya warudi Tz na Wakenya waliopo Tz warudi kwao. Tuagane kwa amani tu maana tunakolekea tunafahamu jinsi Wakenya walivyo Violent. Wanaweza anza wadhuru watu wetu kule kwao.
Pia tuzuie bidhaa kutoka na kuingia Kenya. Tubaki kwetu na vyetu na wao wabaki kwao na vyao. Kwa hali iliyopo sasa ni vyema kila mtu ashike hamsini zake.
Na kwa wale Watanzania wanaodhani wao wana Ukenya mwingi ndani yao wahamie Kenya tu, maana kuna wapuuzi ambao wanapenda sana kujipendekeza mataifa mengine.
Katika hili tunasimama kama Watanzania vyama ni vya baadaye sana.
Mazungumzo ni muhimu sana kwani nchi hizi zinategemeana kwenye mambo mengi.
Naona umeandika kama vile huu ugomvi ni wa familia .
Tell you what ukifanya huo ujinga. First mauzo ya mazao yatapungua.. means wakulima watakuwa hawana faida na mazao yao. Kodi itapungua.. na mzuko wa biashara nchi zote mbili zitapungua.
Hata si mashindano
Mambo hayaendi hivyo unavyo dhani...
Kunakitu kinaitwa diplomasia
Hii ndio msingi wa urafiki wa nchi na nchi ikiwezekana hata urafiki wakinafiki ila si vinginevyo...
Kwanini sisi watanzania tunajifanyaga wanyonge watu wa kuonewa, siku zote? sisi hatuanzishagi jambo tunasubiria wenzetu ndo tunajibu mapingo manaake hatuna sera inayo elewaka kuhusu Kenya,Mkuu. Unawaona kenya wanavyo tu treat? Hawapo tayari kwa mazungumzo wapo ktk harakati za kuharibu na kuhujumu uchumi wa Tz. Hawa jamaa wanajua wanachofanya siyo kwamba hawajui. Tutazungumza vizuri baada ya kuwa tumebanana mbavu kisawa sawa. Hapo tutakuja jadiliana kwa heshima. Nchi hizi si lazima ziwe na urafiki.
Chizi Maarifa,
Serikali iko sahihi. Maamuzi ya Kenya hayatokani na Corona kwa sababu wanajua kabisa Corona inawapiga sana wao kuliko sisi. Kilichopo ni mbinu ovu za ushindani wa kiuchumi katika soko la kimataifa na hofu ya kupigwa bao kutokana na kasi na viwango vya rais Magufuli.
Baada ya wao kupanga vikosi uchumi katika anga, radar zimeona na tayari tumedhibiti. Na sasa ninadhani kwa tahadhari hiyo hiyo, na huku tukiwa makini sana kutokusababisha capita damage, napendekeza mara moja twende na infantry . Vikosi uchumi vya aridhini vifanye kazi usawa wa mipaka yetu hadi Corona iishe Kenia.