Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao


Baya moja, huharibu mazuri yote...

Hii ni kanuni ya Kimungu kabisa...

Chachu ndogo huchachua donge zima....

Ukikosa katika moja, umekosa katika yote...

SULUHISHO: Kiri na fanya toba kw a kosa ndogo, kisha songa mbele...

Utakuwa ni ujinga kutoelewa hii kanuni muhimu ya imani na maisha kwa ujumla...

Na hiki ndicho kinachotufanya tufeli....
 
We nae kaoga sana.
 
Kwa hiyo wanapotupush kwenye kona tuwafanyeje? Hata vita na Idd Amini ilikuwa na madhara lakini "some times you got to fight when you are a man"

Nani kawapush kwenye kona?

Mmejipush wenyewe hadi kwenye kosa na kuugonga ukuta just by not being TRUTHFULLY...!

Hili ndilo tatizi la siasa za Bongo Land... Kujimwambafy wakati huna lolote...
 
Tuache kujiona wanyonge kila siku. We can stand alone. Mambo ya anga ni sehemu ya Muungano. Hii ni collective decision na naunga mkono. Wao wanatakiwa kujitathmini pia
Kiongozi umeshindwa kunifahamu na inaonesha huishi katika dunia hii kiuhalisia. Jaalia wewe una cargo ambayo ni urgent, e.g. CT scan parts ambayo iko njiani kuja TZ kwa KQ Cargo. Ikifika NBO kwa transit, sasa itafikaje huku TZ kwa kipindi hiki? Lakini kama kungekuwa na muda wa wiki1-2 basi watu wangeweza kuamuwa kutotumia KQ Cargo kwa kujuwa athari yake. Kwa sasa kwa baadhi ya watu ishakuwa too late. Mizigo yao iko NBO ama iko njiani kuelekea NBO kama ni transit. Siku zote tunaambiwa, "Usitowe uamuzi ukiwa uko kwenye hasira".

This is the funny part. As it is sasa hivi KQ kurusha ndege katika kipindi hiki zinaruka kwa hasara kwenye 40% load. Ikiwa na maana ya kuwa 60% ya seats are bums free, if you know what I mean! Kuwazuwia kutuwa TZ kwa wao ni blessing in disguise. Walikuwa wanatafuta sababu tu ya kuwaambia wateja wao kuwa hatuendi TZ, luckily wameshaipata. Wewe kwa akili yako Kenya ni wajinga kuzuwia ndege zetu.kwa sababu ya Corona na kuruhusu za kwao zije TZ bila ya kufikiria kuwa za kwao ziktuwa huku zitabeba hayo maradhi na kupeleka kwao. They were looking for it and they have got it. You need to be smart at times by playing stupid!
 
Hatuwezi kukosa soko la chakula mbali na Kenya kununua chakula kwa mahitaji yao lakini walikuwa wanapeleka sudan kusini kwa hiyo tutapeleka moja kwa moja
 
Nilianza kumdharau Kenyatta pale alipomtumia maua malkia wa uingereza maua kwa kutumia ndege nzima ya serikali huku akiwanyima usafiri wakenya waliokuwa wuhan china..
Hata hizi data za corona wanazopika kila siku ni usanii tu wa kutaka favor ya wazungu...corona is a hoax godamit
 
Naunga mkono hoja...
 
Efa etyo ebhagwa
 
Kutoakana na sifa alizopewa hayati Mkapa juzi nahisi kama Magu hajafanya kitu ukilinganisha na waliomtangulia! Nilikuwa nahisi kama kuna wakati atainuka kukamata mic na kusema, " we have come here to bury him and not to praise him. Lets get this over with!"
 
Una kichwa kidogoo. Eti wanategemea bidhaa from Kenya kuliko bongo. Au Sertorius?
 
Kenya wako sahihi 100%.wakenya wameelimika hawaongozi na kuamrishwa na MTU mmoja kama sisi.wakenya WABARIKIWE
 
Mtu anaku treat vile wewe umemuacha afanye hivyo...tuache kuwa na inferiority complex ndo maana leo jambo dogo tunashoboooka tunakua kama watoto wadogo tunakula mbata kila siku..siku umerusha kibao unajiona mwamba. Kama mnataka kuweni agressive kama wao.
 
Kutoakana na sifa alizopewa hayati Mkapa juzi nahisi kama Magu hajafanya kitu ukilinganisha na waliomtangulia! Nilikuwa kama kuna wakati atainuka kukamata mic na kusema, " we have come here to bury him and not to praise him. Lets get this over with!"

I have no comment pls...

I wish this could be that way....
 

Sawa mkuu, acha tunywe mtori tu, nyama tutazikuta chini.
 
Niheshimu Kama ninavyokuheshimu. Nipende Kama ninavyokupenda.
Sisi na Kenya Ni ndugu majirani.
Unaruhusu Ndege kutoka uchina Canada ,mie nduguyo unanibagua.
Hapana!
 

Huyo wala usimjibu, bila shaka ni wale ambao bado wako kwa wazazi wakiwategemea kwa kila kitu.

Kuna watu sijui huwa wanafikiri vipi kichwani mwao. Wanadhani maisha yao yalivyo ndio na watanzania wote walivyo.

Kwa taarifa yako kuna watanzania wengi, vivyo hivyo kwa wakenya, kipato chao kinategemea kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili.

Vikwazo vya uchumi havikimbiliwi tu au kukurupuka kama hamnazo.

Jifunzeni kwa yaliyotokea Tunduma. Mlileta msururu wa kodi na vikwazo kibao, watanzania wakahamia upande wa Zambia. Baada kuona mdodoro wa kukusanya kodi mkaanza kuwaomba warudi.

Hapa inahitajika 'common sense' sio ubabe na kiburi.
 

Haya ni mawazo yako, huenda ni kweli kwako na wengine, ila sio watanzania wachache.

Nafurahi umemtaja Mungu mara kibao kwa comment yako.

Swali ni je, Maandiko yanasemaje juu ya adui? akikupiga shavu moja unafanyaje .......? Akikunyang'anya kazu, mpatie na nini .......?

Tena maandiko (Warumi 12:14) yakaenda mbali na kusema, "Wabarikini wanaowaudhi, barikini wala msilaani".

Maridhiano ni muhimu kwa usitawi wa jamii zetu. Ubabe na kiburi sio sawa. Yako mengi yalipaswa kufanyika kwanza kabla kurukia uamuzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…