Serikali, katika hili tuwawahi Wakenya kwa KO kabla hawajatuwahi wao


Maua ni bidhaa za biashara. kwa ile ilikuwa cargo.
 
Una kichwa kidogoo. Eti wanategemea bidhaa from Kenya kuliko bongo. Au Sertorius?
Kuna sehemu gani hapo nimesema wanategemea bidhaa zaidi Kenya kuliko Bongo? Ulienda shule wewe? Au Sertorius ndio nini?
 
tukiri na kufanya toba kwa nani na kwa kosa gani tuliofanya? ukiwa kijana mnafiki, ukizeeka utakuwa mchawi tu.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.

My point usijfananishe nao kabisa. Wao ni super powers.
 

Unataka yawe mawazo ya Watanzania wote? !!.
Fafanua sijakuelewa.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.
Nimesema kenya ni super power? Inaonekana hata hukuelewa point yangu.
Namaanisha wao ni nchi zenye uwezo wa juu. Kwa hiyp level yao ni tofauti na ya kwetu. Nazungumzia china na america. Sijamweka mkenya kwenye superpowers .
 
Sasa u super power wao sisi unatuhusu nini?

Nimesema kenya ni super power? Inaonekana hata hukuelewa point yangu.
Namaanisha wao ni nchi zenye uwezo wa juu. Kwa hiyp level yao ni tofauti na ya kwetu. Nazungumzia china na america. Sijamweka mkenya kwenye superpowers .
 
Wameshaomba poo Wakenya, tuko tunajitafakari kama wanafaa kusamehewa au tuwapotezee kwanza!! Majibu yatatolewa kesho
 
Wewe ni masikini siyo sisi ni masikini
 
siyo lazima kuwauzia wakenya mazao
 
Hakuna Ubabe hapo. Tanzania imeamua kuwasaidia wakenya kudhibiti Covid 19. nadhani wao walioverlook kuwa wakizuia ndege zetu wakaruhusu za kwao kuja huku ambako mahospitali yetu yamejaa wagonjwa wa korona ni hatari sana kwao.
 
Kwa hiyo huku kwetu Kenya ndo super power? Usioongee kama umekunywa konyagi. Kenya naye no level zetu.kama ni ligi daraja la pili tunashindana hivyp hivyo.

Kenya ni level yetu maana sote tuko uchumi wa kati au huyo mwamba anayebisha hajui kama tuko uchumi wa kati kama kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…