Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

mjizu123

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
349
Reaction score
369
1655226206762.png

"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"

"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi"
"Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao"

- @mwigulunchemba ,Waziri wa Fedha na Mipango

#BajetiKuu
 
Je mtu asipo Lipa itakuwa je?
 
Mnataka kodi uko amna maendeleo mtaani

Kitu ambacho huyo pimbi hajui ni kuwa,baada ya kuondolewa kodi ya kichwa kwa wanaume kipindi cha mkapa ile kodi iliamishiwa kwenye bidhaa maana yake ni kwamba hata mtanzania mdogo mwenye miaka chini ya 10 analipa kodi,akinunua pipi tu tayari kalipa kodi
 
1655226206762.png

Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.

Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.

Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.

Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
 
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
....
A very painful and tricky plan to the most unfortunate majority! Sasa ni wakati wa kuwatambua wabunge wawakilisha wa wananchi na watetezi wa utawala!
 
Unataka kumtoza kodi kijana wa miaka 18+ na ambaye hukumtengenezea mazingira yoyote yale ya kumuwezesha kuipata hiyo kodi!

Kwa mawazo na akili mfu za aina hii, hakika ccm inatakiwa kuwajali na kuwathamini sana policcm na ile tumeccm yao ya uchaguzi! Maana anguko lao liko karibu sana.
 
Back
Top Bottom