Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Ndio hivyo, tamaa imewajaa, pa kupata hela za kuchezea hawana,Nafikiri wanajaribu kutafuta namna ya kuongeza budget kwaajili ya safari za mama yenu, kutembea mwaka mzima bila kumaliza hata wiki moja ikulu si kitu easy.
Hawa Watoto wa 18 ndio kwanza wengine wako Shule. Kodi wanapata wapi? Au Kodi imekuwa Zaka na Sadaka? Au ni Kodi ya Umri? Hii mambo ya Kujifananisha na Nchi zilizoendelea kuwa Vijana 18 wanajiweza tuache.Wenzetu huko Wana Welfare system ambazo zinawahudumia Jobless, Wazee, homeless. At 18 Vijana hutoka Nyumbani kujitegemea huku Serikali zao zikiwahudumia hadi kupata Ajira. Sisi wa 30 Bado wako home tunagombea remote za Tv hawana Ajira wala Mitaji ya Biashara. Wazazi tusibebeshwe mizigo tusioiweza.View attachment 2260876
Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.
Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.
Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.
Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
A very painful and tricky plan to the most unfortunate majority! Sasa ni wakati wa kuwatambua wabunge wawakilisha wa wananchi na watetezi wa utawala!
Umeme maji vocha ardhi nk na bado awajarizika.
Sasa usiwe lijinga la kiwango cha lami.Unalipa Kodi unaingiza Nini?
umewapa kazi?au mitaji ya biashara?
Hauwezi kuvuna kitu ambacho haujapanda.
Nchemba ni mzigo.
Sasa hivi hakunaa wa kututetea watu wanakaribishwa kuramba assaal
Mimi nilidhani kila ninapofanya manunuzi huwa nalipa kodi.
Kwa hiyo kwa andiko lako unataka walio chini ya 18 wauziwe bidhaa zisizo na kodi ama?.
Kwa kuwa Wabunge (wawakilishi) wetu wataenda kujadili huenda wakapingana nalo likasitishwa.
Akili fupi kazini."Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi"
"Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao"
- @mwigulunchemba ,Waziri wa Fedha na Mipango
#BajetiKuu
Mamaae tutatafuna sana tu we ngoja
Ni sawa tulipe kodi tu hakuna ujanja ujanja"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi"
"Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao"
- @mwigulunchemba ,Waziri wa Fedha na Mipango
#BajetiKuu
Wewe ni mmoja ya watanzania wapumbavu Kama waziri wako wa fedha.Sasa usiwe lijinga la kiwango cha lami.
Litoto lako ulilizaa ili kodi za watu wengine zimtunze?
Tuwage na akili.
Zaa litoto lilipe kodi.
Tunavyowaambia hii mikopo italipwa hata kwa kuuza watu utumwani mnatutukana, haya sasaWhat the fukc is this?
Ukiweka tu pesa kwenye simu yako au benki wanakata yote, sasa jiulize, utaweza kuishi bila kutuma au kutumiwa pesa?Je mtu asipo Lipa itakuwa je?
Mamaae tutatafuna sana tu we ngoja
Hata ukinunua soda unalipa kodi, ila hii ni kodi ya kichwaKumbe Watanzania hatukuwahi kulipa kodi vipi makato ya umeme,Ardhi n.k