Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

View attachment 2260876

Mheshimiwa Spika, kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi.

Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi.

Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi.

Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao.
Hawa Watoto wa 18 ndio kwanza wengine wako Shule. Kodi wanapata wapi? Au Kodi imekuwa Zaka na Sadaka? Au ni Kodi ya Umri? Hii mambo ya Kujifananisha na Nchi zilizoendelea kuwa Vijana 18 wanajiweza tuache.Wenzetu huko Wana Welfare system ambazo zinawahudumia Jobless, Wazee, homeless. At 18 Vijana hutoka Nyumbani kujitegemea huku Serikali zao zikiwahudumia hadi kupata Ajira. Sisi wa 30 Bado wako home tunagombea remote za Tv hawana Ajira wala Mitaji ya Biashara. Wazazi tusibebeshwe mizigo tusioiweza.
 
A very painful and tricky plan to the most unfortunate majority! Sasa ni wakati wa kuwatambua wabunge wawakilisha wa wananchi na watetezi wa utawala!

Kwa hili bunge la vilaza usitegemee chochote. Tulifanya kosa kukubali uhuni wa 2020 kuwaondoa wapinzani bungeni.
 
Unalipa Kodi unaingiza Nini?
umewapa kazi?au mitaji ya biashara?
Hauwezi kuvuna kitu ambacho haujapanda.
Nchemba ni mzigo.
Sasa hivi hakunaa wa kututetea watu wanakaribishwa kuramba assaal
Sasa usiwe lijinga la kiwango cha lami.
Litoto lako ulilizaa ili kodi za watu wengine zimtunze?
Tuwage na akili.
Zaa litoto lilipe kodi.
 
Mimi nilidhani kila ninapofanya manunuzi huwa nalipa kodi.

Kwa hiyo kwa andiko lako unataka walio chini ya 18 wauziwe bidhaa zisizo na kodi ama?.

VAT bado ipo, hii ni Kodi mpya.
 
Kwa kuwa Wabunge (wawakilishi) wetu wataenda kujadili huenda wakapingana nalo likasitishwa.

Spika alishaweka msimamo sio lazima serikali ifuate ushauri wa Bunge. Kama seriakli imeamua itakuwa. Mbona too tumekubali.
 
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"

"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi"
"Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao"

- @mwigulunchemba ,Waziri wa Fedha na Mipango

#BajetiKuu
Akili fupi kazini.
 
Ni sawa tulipe kodi tu hakuna ujanja ujanja
 
Katika hili waziri amepuyanga haliwezi kuwa applicable maana hakuna mazingira yaliyopo ya kuwezesha hilo liwezekane, maana ktk bajeti yake amekiri kuwa kuna tatizo kubwa la ajira hasa Kwa kundi kubwa la vijana na akaenda mbele na kusema wazazi tena wazee ndiyo wanalihudumia kundi hilo kutokana na kutokuwa na ajira wala mitaji na akadai serikali lzm ije na mkakati wa kulisaidia kundi hilo moja akasema wameongeza bajeti ya kilimo, mifugo nk

Sasa hilo pendekezo hata halijaanza utekelezwaji wake hapohapo unaotaka uwasaidie unataka walipe kodi wee uliona wapi mheshimiwa in bwege voice

Hili pendekezo lingekuja miaka 2 au 3 hivi ingekuwa sawa siyo sasa
 
Sasa usiwe lijinga la kiwango cha lami.
Litoto lako ulilizaa ili kodi za watu wengine zimtunze?
Tuwage na akili.
Zaa litoto lilipe kodi.
Wewe ni mmoja ya watanzania wapumbavu Kama waziri wako wa fedha.
Kwani unavyonunua vitu madukani haulipi Kodi?
Unataka alipe Kodi umempa kazi au mtaji wa biashara?.
 
Back
Top Bottom