Serikali: Kilichompata Dkt. Sospeter Bulugu kilitokana na kushuka kwa Sukari, na siyo madhara ya chanjo

Asilimia 16.8% ni nusu kweli?
Umesoma vizuri? Au ''english gongana''! Unajua population ya dunia? Unajua makadirio ya idadi ya watu ambao wanatakiwa kuchanjwa ni wangapi? Umesoma ni wangapi wameshapata angalau chanjo moja?
 
Umesoma vizuri? Au ''english gongana''! Unajua population ya dunia? Unajua makadirio ya idadi ya watu ambao wanatakiwa kuchanjwa ni wangapi? Umesoma ni wangapi wameshapata angalau chanjo moja?
Ww umesema nusu ya population,usilete malikauli hapa
 
Ukiskkiliza vizuri hiyo clip kuna mtu anayemfanamu alisema alikuwa amechanjwa! Yeye mwenyewe alitaka kusema " Nashukuru sana mimi ni-(lichanjwa)! Aliishia kusema ni........... ! Muktadha wa sentensi unaonesha alikuwa anashukuru kwa kuchanjwa!!!
 
Huyo Gwanjima ni mganga wa kienyeji hadi aseme sukari imeshuka bila kumpima? Hukumu yenu ni kubwa mbele za Mungu. Endeleeni kuhadaa watu na kuwalaghai huku mkificha ukwlei kwa maslahi ya viburi vyenu.
Yaan wanao pinga chanjo kwa kusimamia mawazo ya magufuli sijui nawaonaje kwakweli maana ni zaid ya wapumbavu
 
Mpumbavu ni mpumbavu tu.
 
Sukari, sugar sukari
Ikipanda ni balaa ikishuka ndio hatari
 
Kwamba Daktari alikuwa sehemu ya watoa mada halafu at the same time, tunaambiwa alienda kupata Elimu ya Chanjo ili aweze kuchanjwa. Serious?
Anyway, natambua Chanjo haiwezi kusababisha mtu a faint. Huenda kushuka ghafla kwa sukari mwilini( hypoglycemia) au orthostatic hypotension ( kushuka kwa msukumo wa damu kunakotokana na kusimama guafla) kulimsababishia hali Ile. Lakini kwa nn taarifa ya wizara unanichanganya?
 
Watanzania shida sana; hivi ni wangapi waliochanja halafu wakapatwa na hali hiyo? Mbona tunao wengi tu huku mtaani wamechanjwa na hawana matatizo yeyote...tuacheni uzushi usio na maana..
 
Alikuwa mtoa mada wa mwisho na wakati huohuo alikuja kupata elimu ya chanjo. What a coinsidence
Hili ndo limenisumbua kwamba msemaji amekuja kupata elimu ya chanjo ili naye achanjwe?
Hata shetani hawezi danganya uongo wa hivyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…