Serikali kuajiri Maafisa 800 wa TAKUKURU ili wakapambane na mafisadi

Vijana fursa hizo hapo.

My Take
Vijana msipotoka awamu hii ya Samia mjue ndio basi watakuja watu dizaini ya Rais wa Wanyonge harafu mtaona mtakavyoishia kuwa machinga .
Napendekeza idara ya takukuru kiwe kitengo chini JWTZ nakiitikie moja kwa moja na jwtz , kwa boresha sheria iliyotumika unda idara husika na kila msimazi mkuu kuanzia kitaifa ,mkoa mpaka wilaya awe ni mtumishi toka jwtz ,
Na tupime ufanisi kwa miaka miwili tuone kama rushwa itaongezeka ,au pungua linganisha na kipindi miaka nyuma ,
 
JWTZ wameshindwa kudhibiti wizi bandarini na Melelani , Takukuru ikiwa chini Yao ndio itakuwa nini? Hawataki pesa?
 
Ufisadi wa bandari nani wa kupambana nao.
 
Na atakaekamatwa anakula rushwa apelekwe jeshini miezi 6 tu

Tatizo hawa taku wanawajua taasisi zote ukienda kushtaki unageukwa na uadui juu
 
Pale Wala Rushwa wanapo ajiri Wala Rushwa!
Hiyo ni ngumi ya usoni ndugu yangu. Mimi nina mfano halisi wa mla rushwa aliyeajiriwa kwa maksudi kabisa ili asipambane na rushwa na kweli hakupambana kabisa na rushwa mpaka alipostaafu. Na huo ndiyo utawala (governance) wa nchi zetu za Afrika ambazo hazina dhamira ya dhati ya maendeleo ya nchi zao! Mataifa ya nje yanazipenda sana nchi kama zetu.
 
Wanaoingia Takukuru wengine wanaingilia kupitia mlango wa uwani what fo you expect?
 
Yani takukuru tangu lini wakazuia rushwa? Haya ww jikombe tu kwa watanganyika.
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu tu.
Asante
 
Ili wakapambane mafisadi au ili wakawalinde mafisadi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…