Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaHiyo ni taasisi ya kupanda na kupalilia rushwa haina maana kabisa kuwepo ni kupoteza hela za walipa kodi
Ogopa matapeli.SERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa...
Tunahitaji maofisa 800? Ni kufuja feza tu. Someni ripoti za CAG. Chukueni hatua. Habari zote zimo humo.SERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa...
Chai, atupoi katika bandari hata mumteue makonda kuwa waziri mkuuSERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa...
Hapo jiulize TAKUKURU ina watumishi wangapi na wameshindwa, hawa 800 wataongeza nini japo sipingi kuajiri ni jambo jema pia maana hali ya ajira pia sio nzuri sana, zinapotoka nafasi kama hivi ni ahueni kwa vijana wengi tuHawa waliopo hawana meno unaongeza wengine, CAG amesema trilioni zimepigwa hawa waliopo walikuwa wapi?
hao hawama uwezo wa kudeal na mambo ya kutumia akili, wao wamesomea kuua watu. Nguvu nyingi akili kidogo!Napendekeza idara ya takukuru kiwe kitengo chini JWTZ nakiitikie moja kwa moja na jwtz , kwa boresha sheria iliyotumika unda idara husika na kila msimazi mkuu kuanzia kitaifa ,mkoa mpaka wilaya awe ni mtumishi toka jwtz ,
Na tupime ufanisi kwa miaka miwili tuone kama rushwa itaongezeka ,au pungua linganisha na kipindi miaka nyuma ,
Wennda sheria haikupewa memeno, iwe chini yao alafu wapewe sheria yenye meno bila kujali chochote cha mla rushwa apewe mti aupige busu na shaba juu adhalani muone kama kuna mtu atadhubutu uza bandari, n.kJWTZ wameshindwa kudhibiti wizi bandarini na Melelani , Takukuru ikiwa chini Yao ndio itakuwa nini? Hawataki pesa?
Elewa nasema nini hapa , nimesema takukuru iwe idara ndani ya JWT , namanisha wenye fani zao watabaki vile vile ila kitengo chini ya JWTZ. Na ukaunda sheria yenye meno kwa idara hii , mtakimbia ofisi nyie mafisadi mapema sana kwa kuomba staafu, mnataka mambo muhim ila hamtaki mabadiliko mepesi , pumbavuhao hawama uwezo wa kudeal na mambo ya kutumia akili, wao wamesomea kuua watu. Nguvu nyingi akili kidogo!
.
Yesu ni KRISTO/MASIHI