ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Bahati mbaya Sina hiyo fursa ya Kuiba ningeipata ningeitumia vyema,hakuna mtu ana maisha Bongo hapa hajaiba mahala au kupiga Dili.Nyie mmeiba hadi Uchumi ikafa mkaanza ishi kwa wanaume
Kwa hiyo pale Uchumi we ulikuwa mfagia vyoo au?Bahati mbaya Sina hiyo fursa ya Kuiba ningeipata ningeitumia vyema,hakuna mtu ana maisha Bongo hapa hajaiba mahala au kupiga Dili.
Kumbukeni lengo siyo kuzuwiya Rushwa,lengo ni kuongeza ajira,ili vijana wasiokua na kazi nao wapate ajira!!!Hao wenyewe wala rushwa, hakuna kitu hapo
Kwa hiyo wwe mradi tu ukiona pesa uko tayari kula Rushwa ili upindishe haki za watu!!?? Jaribu kuvumilia njaa yako usije ukaishia pabaya na kupenda kwako kula Rushwa!!Jibu swali wewe huwezi kula Rushwa ukiona pesa?
Kwa hiyo kazi za pale ni kufagia vyoo pekee au? Boya weweKwa hiyo pale Uchumi we ulikuwa mfagia vyoo au?
Waliopo rushwa imewashinda hawa 800 ndiyo wataweza?SERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, alisema maofisa hao watasambazwa maeneo mbalimbali nchini ili kukabiliana na vitendo vya rushwa katika miradi ya serikali inayotekeleza.
“Ninakiri kuwa kuna upungufu na ubadhirifu katika miradi mingi inayotekelezwa ikiwamo ile ya kimkakati, hivyo serikali imeamua kuongeza nguvu ili kudhibiti ubadhirifu huo kwa kuongeza maofisa hawa watakaotawanywa wilaya zote,”alisema.
Chanzo: Nipashe
My Take
Vijana msipotoka awamu hii ya Samia mjue ndio basi watakuja watu dizaini ya Rais wa Wanyonge harafu mtaona mtakavyoishia kuwa machinga .
Nakubaliana na weweHao wenyewe wala rushwa, hakuna kitu hapo
Wako wachache hawafiki Kila mahala,kumbuka kazi Yao Kuu ni Kuzuia sio kukamataWaliopo rushwa imewashinda hawa 800 ndiyo wataweza?
Broo usidanganywe hao nao wengi wao ni wala rushwa wazuri sn, tatizo rushwa ya Tanzania inaanzia juu kushuka chini, RC/DC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama akila rushwa utamfanya nini?Wako wachache hawafiki Kila mahala,kumbuka kazi Yao Kuu ni Kuzuia sio kukamata
Ni kweli bora wange waajiri Madaktari na walimu kuliko kuajiri watumishi hewa.Hiyo ni taasisi ya kupanda na kupalilia rushwa haina maana kabisa kuwepo ni kupoteza hela za walipa kodi
Tanzania hakuna rushwa hao maafisa wanini?SERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa...
Heri wale wenye moyo safi kwa maana watauona ufalme wa Mungu !! 🙏🙏 🔨Hero wenye moyo safi kwa maana Watamwona Mungu
RIP shujaa Magufuli
Haha mkuu hii kwa Kitaalam tunaiwekaje kwa kuzingatia ile ile PCCBTaasisi ya kuzoea na kupamba rushwa
Tanzania hakuna rushwa kuna hongo na kuhonga ni Asante au uongo ndugu yangu??Tanzania hakuna rushwa hao maafisa wanini?
Na kuhonga ni kutaka mwenyewe ukituma na ya kutolea hiyo ni hongo ndugu yangu?!Tanzania hakuna rushwa kuna hongo na kuhonga ni Asante au uongo ndugu yangu??