GE2025 Serikali: Kuanzia kesho Novemba 4, 2025 Wananchi waendelee na shughuli zao za kawaida

GE2025 Serikali: Kuanzia kesho Novemba 4, 2025 Wananchi waendelee na shughuli zao za kawaida

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
1762184054882.png
 
Jumatano ndo watu watarudi kama kawaida kesho sidhani
 
Serikali kupitia Katibu Mkuu Kiongozi imetoa taarifa kuwa shughuli za kiuchumi na kijamii zirejee kama kawaida kuanzia kesho Jumanne Novemba 4.

IMG_20251103_192035_131.jpg
 
ni jambo jema amani kuendelea kuimarika nchini

nimaombe wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulizi pindi wanapoona viashiria ya mtu au kikundi cha watu wasio wajua wakipanga au kufanya vurugu kwenye maeneo yao
 
Kwa hiyo wao ndio walipanga watu wafunge shughuli zao na sasa wanatoa matamko ya kufungulia nchi...
 
Back
Top Bottom