DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Nov 3, 2025 #1 Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Nov 3, 2025 #2 Jumatano ndo watu watarudi kama kawaida kesho sidhani
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,969 Reaction score 7,137 Nov 3, 2025 #3 Daah afadhali
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,208 Reaction score 20,517 Nov 3, 2025 #5 Stupid
KingCobra95 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 3,364 Reaction score 6,264 Nov 3, 2025 #6 Something from a Borat movie
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Nov 3, 2025 #7 Njaa itapungua hali sio
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Nov 3, 2025 #8 Serikali kupitia Katibu Mkuu Kiongozi imetoa taarifa kuwa shughuli za kiuchumi na kijamii zirejee kama kawaida kuanzia kesho Jumanne Novemba 4.
Serikali kupitia Katibu Mkuu Kiongozi imetoa taarifa kuwa shughuli za kiuchumi na kijamii zirejee kama kawaida kuanzia kesho Jumanne Novemba 4.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,987 Reaction score 27,554 Nov 3, 2025 #9 ni jambo jema amani kuendelea kuimarika nchini nimaombe wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulizi pindi wanapoona viashiria ya mtu au kikundi cha watu wasio wajua wakipanga au kufanya vurugu kwenye maeneo yao
ni jambo jema amani kuendelea kuimarika nchini nimaombe wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vyetu vya ulizi pindi wanapoona viashiria ya mtu au kikundi cha watu wasio wajua wakipanga au kufanya vurugu kwenye maeneo yao
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Nov 3, 2025 #10 Shame
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Nov 3, 2025 #11 Kwa hiyo wao ndio walipanga watu wafunge shughuli zao na sasa wanatoa matamko ya kufungulia nchi...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 4, 2025 #12 DuaZaMama said: Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida. View attachment 3496729 Click to expand... JamiiCheck
DuaZaMama said: Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida. View attachment 3496729 Click to expand... JamiiCheck
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 4, 2025 #13 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw