johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo
RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo
Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo
===
Serikali mkoani Geita, imetoa pole kwa kanisa katoliki mkoani humo kufuatia tukio la kuvamiwa kwa jengo la kanisa hilo na kufanyika uharibifu mkubwa wa mali. Mkuu wa mkoa huo Martin Shigela, amesema serikali pia imeahidi kuchangia gharama za uharibifu uliojitokeza