Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

Haya mambo ya dini yatatuchelewesha sana
Kuna uharibifu gani pale kanisa katoliki wameshindwa kugharamia hadi wasaidiwe? Kuna watu wanahitaji msaada sio kanisa.
Waislam na wakristu hawajawahi kupendana....unafiki tu .
 
Yani serikali inachangia nini wakati pale hata milioni haifiki?
Mama awe siriaz kuna vitu kibao vya kuchangia
Naona ni kete ya kisiasa hiyo kaisogeza vizuri unaweza kuta hata tukio lenyewe ni planned tangu mwanzo
 
Ni salamu,vp alizitoa kwa wakristu wote?
Wakiristo wa humu Jf mbona Mnatia aibu kwa malalamiko mengi na kulialia pasipo na misingi yeyote awamu hii ? Haya salamu hizo sema kipi kimeongezeka kwako baada ya salamu hizo..
images (1).jpeg
 
Wakatoliki hawawezi jitegemea,wamekua wakiweka mirija hazina tangu serikali ya mkoloni Hadi Leo,rejea kitabu Cha padre dk sivalon,kanisa katoliki na siasa za Tanzania,mwaka 1992 wakaamua kuingia mkataba kabisa na serikali (MoU),huenda magu aliwakazia..ndiyo unaona Leo kanisa Lina miradi ya kukaanga maandazi na kukamua waamini

Mbona miradi ilianza zamani Sana.
 
Nguvu watoe wapi wewe,hao Wala Kodi tu za serikali,wangekua na nguvu wasingevutwa kuutambua ushoga Bali wangeuaukuma mbali,lile ni corporate tu Kama Lockheed Martin nk

Ukatoliki hautambui ushoga acha uongo.
 
Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo

RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo

Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo

Source ITV Habari
Kuna watu wanakosa matatibu ya 2M lakini huwezi kumsikia akichangia hata mia matokeo yake Malisa ndiyo amekuwa mfariji wa wanyonge
 
Ushawishi wa Kanisa Katoliki la Rumi ni mkubwa sana nchini na duniani kote katika masuala ya kijamii na kiuchumi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, hata dini ya Kiislamu na BAKWATA, wao ni waasisi na wanawajibika katika mamlaka ya Upapa.

All roads lead to rome,
 
Nguvu watoe wapi wewe,hao Wala Kodi tu za serikali,wangekua na nguvu wasingevutwa kuutambua ushoga Bali wangeuaukuma mbali,lile ni corporate tu Kama Lockheed Martin nk

We endelea kurukaruaka kama popcorns ila ukweli unaujua,rc sio dini ni mfumo unao run dunia,kwaku anza tu unatumia kalenda zao hata miaka yako ya kuzaliwa inaandikwa kwa kalenda ya rc.
 
We endelea kurukaruaka kama popcorns ila ukweli unaujua,rc sio dini ni mfumo unao run dunia,kwaku anza tu unatumia kalenda zao hata miaka yako ya kuzaliwa inaandikwa kwa kalenda ya rc.
Hakuna kalenda ya RC,Ile ni elimu tu Kama ambavyo rc wametumia elimu za watu wasio rc
 
Hakuna kalenda ya RC,Ile ni elimu tu Kama ambavyo rc wametumia elimu za watu wasio rc

Leo tarehe ngapi mwaka gani mwezi gani?na uniambie unatumia hizo tarehe kutoka kalenda gani iliyoasisiwa na nani?
 
Back
Top Bottom