Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

Leo tarehe ngapi mwaka gani mwezi gani?na uniambie unatumia hizo tarehe kutoka kalenda gani iliyoasisiwa na nani?
Utawala wa kanisa,mkuu wa nchi Papa,wanaofanya kazi za kitaalam ni wataalam,kalenda Haina uhusiano na ukiristo
 
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Kanisa Kuu, Jimbo Katoliki la Geita kutokana na uvamizi na uharibifu wa mali usiku wa Februari 25 mwaka huu.

Shigella jana alitembelea kanisa hilo na kuahidi kwamba serikali itashiriki ukarabati wa vitu vilivyoharibiwa.

Alisema serikali itatoa ushirikiano kwa uongozi wa Kanisa Katoliki kipindi chote cha uchunguzi na ipo tayari kuchangia gharama za ukarabati unaohitajika ili waumini waendelee na ibada.

"Ninalaani kitendo hicho, na Rais ameelekeza kwamba anatoa pole nyingi kwa kanisa na kwa waumini wote, lakini kama serikali, tupo wote, tutashirikiana," alisema Shigella na kuongeza:
"Kwa hiyo tutaendelea kufanya uchunguzi na ukifika muda wa kumpeleka mhusika kwenye vyombo vya sheria, tutafanya hivyo na tutahakikisha hatua zinachukuliwa.


Aidha, alielekeza Jeshi la Polisi lipanue wigo wa uchunguzi ili kubaini wengine walioshiriki katika tukio hilo ama kujiridhisha kama mhusika ni mmoja aliyefanya uhalifu huo.
 
Kuna uharibifu gani pale kanisa katoliki wameshindwa kugharamia hadi wasaidiwe? Kuna watu wanahitaji msaada sio kanisa.
Waislam na wakristu hawajawahi kupendana....unafiki tu .
Kwani Samia amechangia kama muislam au kama Rais

Hizi roho mbaya zenu si muombe mfe mpumzike

Yeye Raisi sio wa kigango Wala sio Raisi wa msikiti kenge nyie
 
Huyo wanayetunyesha kuwa ndiye mhalifu ni maigizo tu, hawasemi walimpataje, na kama ni ulevi mbona hakupiga kelele wakati anavunja na kunajisi
Hivi wakisema kulinajisi kanisa wanamaanisha nini? Naomba kueleweshwa
 
Mkuu wewe kubali kataa lakini hao jamaa wana influence kubwa sana na hakuna nchi hapa duniani inayoweza kuwakoromea kila nchi ni washirika wake hata uko arabuni kwa masheikh
Marekani hawezi kuwakoromea?
 
Kwani Samia amechangia kama muislam au kama Rais

Hizi roho mbaya zenu si muombe mfe mpumzike

Yeye Raisi sio wa kigango Wala sio Raisi wa msikiti kenge nyie
Mimi Kenge?
Niwe tu mpole maana nimetoka jela. Asante mkuu
 
Back
Top Bottom