johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Eti Dr SamiaHongera Dr Samia
Ushawishi wa Kanisa Katoliki la Rumi ni mkubwa sana nchini na duniani kote katika masuala ya kijamii na kiuchumi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, hata dini ya Kiislamu na BAKWATA, wao ni waasisi na wanawajibika katika mamlaka ya Upapa.Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo
RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo
Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo
Source ITV Habari
Mlevi alishawahi hudumu kwenye Hilo kanisa,kinachoshangaza ni serikali kugharamia ujenzi wa kanisa...pesa za Kodi za waislam zitagharamiaje ujenzi wa kanisa!?Lakini watuambie ukweli mlevi aliwezaje kuharibu mfumo wa CCTV
Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye....Ushawishi wa Kanisa Katoliki la Rumi ni mkubwa sana nchini na duniani kote katika masuala ya kijamii na kiuchumi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, hata dini ya Kiislamu na BAKWATA, wao ni waasisi na wanawajibika katika mamlaka ya Upapa.
Wakatoliki hawawezi jitegemea,wamekua wakiweka mirija hazina tangu serikali ya mkoloni Hadi Leo,rejea kitabu Cha padre dk sivalon,kanisa katoliki na siasa za Tanzania,mwaka 1992 wakaamua kuingia mkataba kabisa na serikali (MoU),huenda magu aliwakazia..ndiyo unaona Leo kanisa Lina miradi ya kukaanga maandazi na kukamua waaminiWangemchangia kwanza yule mama aliyepolwa ndizi zake na serikali ya Zanzibar, wakatoliki wanaweza kujitegemea
Kuna nchi Ulaya wanatoa 10% ya bajeti ya serikali kusaidia kanisa, ndio nguvu ya wakatoliki, Ila baada ya kianguka ukominist miaka ya 90, misaada mingi kutoka magharibi ikaelekezwa Ulaya mashariki, ikabidi makanisa ya Africa yaanze kujitegemea kwa sehemu kubwa, ndio michango ikaanza, Ila hakuna miradi ya kuuza mandazi, kanisa halijafika hukoWakatoliki hawawezi jitegemea,wamekua wakiweka mirija hazina tangu serikali ya mkoloni Hadi Leo,rejea kitabu Cha padre dk sivalon,kanisa katoliki na siasa za Tanzania,mwaka 1992 wakaamua kuingia mkataba kabisa na serikali (MoU),huenda magu aliwakazia..ndiyo unaona Leo kanisa Lina miradi ya kukaanga maandazi na kukamua waamini
Parokia ya Mt benadeta kule nzega wanachoma maandazi,unabisha nini!?Kuna nchi Ulaya wanatoa 10% ya bajeti ya serikali kusaidia kanisa, ndio nguvu ya wakatoliki, Ila baada ya kianguka ukominist miaka ya 90, misaada mingi kutoka magharibi ikaelekezwa Ulaya mashariki, ikabidi makanisa ya Africa yaanze kujitegemea kwa sehemu kubwa, ndio michango ikaanza, Ila hakuna miradi ya kuuza mandazi, kanisa halijafika huko
Watu wanajitoa tu akili lakini Rumi na Jesuit wana nguvu sana dunianiNguvu ya Papa nomaaaa
Nguvu watoe wapi wewe,hao Wala Kodi tu za serikali,wangekua na nguvu wasingevutwa kuutambua ushoga Bali wangeuaukuma mbali,lile ni corporate tu Kama Lockheed Martin nkWatu wanajitoa tu akili lakini Rumi na Jesuit wana nguvu sana duniani