Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

Nguvu watoe wapi wewe,hao Wala Kodi tu za serikali,wangekua na nguvu wasingevutwa kuutambua ushoga Bali wangeuaukuma mbali,lile ni corporate tu Kama Lockheed Martin nk
Mkuu wewe kubali kataa lakini hao jamaa wana influence kubwa sana na hakuna nchi hapa duniani inayoweza kuwakoromea kila nchi ni washirika wake hata uko arabuni kwa masheikh
 
Yasemekana kwenye kanisa hilo kuliwekwa baadhi ya vitu na kumbukumbu za jiwe. Mhalifu hakufurahishwa na maamuzi hayo
Jiwe hakuwa jimbo la Geita bali Rulengw-Ngara
 
John hivi mama alitoa salamu za mfungo kwa wakristu wote?
 
Raisi wa nchi yangu na huuu ndio uadilifu waumini wakaabudu

Viva samia vivaaaaaaaaaaa
 
Pongezi kwa Mh.RAIS
 
Kipindi cha Mchonga meno RC walikuwa wanakula OC kama taasisi nyingine za Umma Mwinyi ndo aliwatoa
 
Walinzi wa usalama wa raia na mali zao ungetosha. Mengine ni siasa.
 
Ushawishi wa Kanisa Katoliki la Rumi ni mkubwa sana nchini na duniani kote katika masuala ya kijamii na kiuchumi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, hata dini ya Kiislamu na BAKWATA, wao ni waasisi na wanawajibika katika mamlaka ya Upapa.
Mkuu acha kuzungumza kama umekatwa kichwa uislamu unawajibika kwa papa? papa yupi huyu shark au?.
 
Mkuu wewe kubali kataa lakini hao jamaa wana influence kubwa sana na hakuna nchi hapa duniani inayoweza kuwakoromea kila nchi ni washirika wake hata uko arabuni kwa masheikh
Mambo ya diplomasia hakuna offence, ila dini na mfumo ni mbali mbingu na ardhi na wao ni maadui tangu kale mpaka qiyamah.
 
Ni nchi gani hiyo?
 
Wapo wataosema mama ni mdini
 
Tuseme ukweli hii nchi tangu tupate uhuru huyu ndiye rais tumempata Sasa, siipendi ccm na sijawahi kuipenda Ila naunga mkono apige 5 nyingine
 
Yani serikali inachangia nini wakati pale hata milioni haifiki?
Mama awe siriaz kuna vitu kibao vya kuchangia
 
Mkuu wewe kubali kataa lakini hao jamaa wana influence kubwa sana na hakuna nchi hapa duniani inayoweza kuwakoromea kila nchi ni washirika wake hata uko arabuni kwa masheikh
Bangi bila kula hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…