inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Aibu South Africa kuwa rejea yako ya kukwepa ufisadi na kupata uongozi Bora...Africa nchi fisadi ni Nigeria,South Africa na kenyaNdio sababu watu wanataka katiba mpya. Itatuongoza namna nzuri ya kupata viongozi na namna nzuri ya kuwatoa wakiboronga. Refer to S/Africa.
Yaani hadi Leo hujakubaliIfike mahali tukubaliane CCM basi sasa.
Watuue, watufunge n.k lkn tuamue jamani kwa ustawi wa taifa hili.
yule mbabe wao JPM alikua akifikiri Tanzania ni kijiji kwenye sheria za kimataifa nadhani huko alipo analiona hili! Wakauze mali zake Chato kufidia hasara hii itokanayo na maamuzi ya kipuuzi!
Waseme tu pesa zinaenda kwa mstaafu fulani
Mungu atunusuru
Unaweza kuwa Sukuma Gang kwa mawazo na hulka, hata kama kabila lako ni mmakondeWewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Hapana ndugu, ni Sheria tu ya mikataba,sio kama nafurahi napenda utawala wa sheria na uwajibikaji.Kwa hiyo imekufurahisha “sisi“ kulipa,? Haikugusi wala kukusikitisha hata kidogo tu?
Mikataba mingi serekalini ni ya ujanjanja tu, wanasheria wengi ni wapigaji tu!!Hapana ndugu, ni Sheria tu ya mikataba,sio kama nafurahi napenda utawala wa sheria na uwajibikaji.
Bila ya ubabe wala kuzulumiana.
Wewe mwenyewe ukipewa fursa utapiga tu, sote ni wezi watarajiwa.Mikataba mingi serekalini ni ya ujanjanja tu, wanasheria wengi ni wapigaji tu!!
Bahati nzuri yuko hapo Bumbuli tu!! hatazitumia popote zaidi ya kula vihepe tuu!!....hivi alimuombaga Msamaha jiwe huyu dogo kweli?? km alivo fanya mwenzake???Hapo Makamba anazake kama 10B
Aliomba pamoja na NgelejaBahati nzuri yuko hapo Bumbuli tu!! hatazitumia popote zaidi ya kula vihepe tuu!!....hivi alimuombaga Msamaha jiwe huyu dogo kweli?? km alivo fanya mwenzake???
Mnipe mimi siibi!!sote ni wezi watarajiwa.
Utaiba tu.Mnipe mimi siibi!!
Achana nalo ni kubwa jinga.Wewe ni pimbi sana, kwa nini unadhani kila anayekuwa kinyume chako lazima awe sukuma gang..
Mlivunja mkitegemea nini?Kwa hiyo imekufurahisha “sisi“ kulipa,? Haikugusi wala kukusikitisha hata kidogo tu?
Hadi sasa bora ccm waendelee tawala pamoja kuwa hatupendi ila jaribu angalia mtu kama Mdude Chadema.....Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Punguza hasiraHii remote jamani haina uchungu na nchi yake,lakini mwisho wa yote wataondoka na sanda tu, sasa tujue kwanini hawa wahuni walikuwa wanampiga vita mwendazake!