Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

•Maswali ni mengi kuliko majibu...!

FB_IMG_16514809454363082.jpg
 
Ni mwendo wa kupiga pesa kupitia mgongo wa madudu ya awamu ya 5. Kweli wajanja wameshika nchi.
 
Kwaheri Magufuli kwaheri uzalendo karibu ufisadi karibuni watumbuaji wa pesa

Sahauni kuhusu maendeleo katika nchi hi


Mwananch wa kawaida anaposikia habar kama hii n maumivu kias gani anayapitia

....MUDA WA MABADILIKO N SASA...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Alafu tumpe nani madaraka? Huko upinzani wengi wapo kwenye "line" zao! Labda tuombe watokee wazalendo wengi from within wavuruge hiyo chain.
Hadi sasa bora ccm waendelee tawala pamoja kuwa hatupendi ila jaribu angalia mtu kama Mdude Chadema.....
 
Hii remote jamani haina uchungu na nchi yake,lakini mwisho wa yote wataondoka na sanda tu, sasa tujue kwanini hawa wahuni walikuwa wanampiga vita mwendazake!
Punguza hasira
 
Back
Top Bottom