Kwani unafahamu kesi ilifunguliwa lini?Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Hivi we una akiri kweli. Wameshakwambia sympion Ni .Ali ya marekani we unasema mstaafu flani. ShwainiWaseme tu pesa zinaenda kwa mstaafu fulani
Mungu atunusuru
Teli zemu, baeleze baelewe!. Ukivunja mkataba unalipa!, dawa ya deni ni kulipa. Serikali ya Samia inazingatia haki na utawala wa sheria.Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Teli zemu, baeleze baelewe!. Ukivunja mkataba unalipa!, dawa ya deni ni kulipa. Serikali ya Samia inazingatia haki na utawala wa sheria.Ukivunja mkataba lazima ulipe.
Kipindi Cha jpm kulikuwa na maendeleo gani zaidi ya kuwafanya vijana machinga waliosoma na wasiosoma hakuna tofauti.Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana,
Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!
Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka
Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.Sisi ni hodari sana wa kubadilisha vitu vingi kwanini siyo ccm?
Elimu Elimu Elimu... Hata wewe??Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.
Kukosekana kwa anye serious and credible opposition in Tanzania, ni afadhali CCM iendelee!. Kiukweli Watanzania tumshukuru sana Mungu for CCM, kuna watu wangechukua nchi hii...
Naomba nisimalizie!.
P
Nimekupa like kabla ya kusoma nikijua wazi hujawahi kutoa mchango mbovu hapa JF.Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.
Kukosekana kwa anye serious and credible opposition in Tanzania, ni afadhali CCM iendelee!. Kiukweli Watanzania tumshukuru sana Mungu for CCM, kuna watu wangechukua nchi hii...
Naomba nisimalizie!.
P
Wananchi wakidumazwa akili kama mnavofanya hakuna mahali tutafika...Nimekupa like kabla ya kusoma nikijua wazi hujawahi kutoa mchango mbovu hapa JF.
Umeongea kitu cha maana sana, Watz tunalalamika sana kuhusu CCM ila kiukweli ni bora hata CCM kuliko huo upinzani, hata kwa kuangalia namna gani wanapanga mambo yao.
No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.Elimu Elimu Elimu... Hata wewe??
Kwa hiyo bora wanayofanya yaendelee kufanyika?
😱😱😱🤔🤔🤔
Ww kapuku unafaidika nini zaidi ya ushuzi na kupiga kelele humu kumbafSukuma gang mmeanza hekaya zenu za abunuasi
Pimbi mwingi huyu hapa hiyo b 356 unayo nyumbani kwako!?Mleta mada bana. Yani wee mwenyewe unaona iyo billion 356 ni nyiiingiiiiiiiiiiiiii.
I don't buy your ideology unless your are a sole beneficiary of the present dysfunctional system.No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
Halafu hawa jamaa wamebaki kulalamika kuibiwa kura cha ajabu baada ya wizi hakuna improvement ya utawala bora ndani ya vyama hadi uchaguzi mwingine unafika na kupita, hahahaha imagine tangu 1995 hadi 2020.No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
Mlivunja mkitegemea nini?
You don't have to buy my ideology, or anybodies ideology, facts are stubborn things, Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, this is a fact, and better get it in your head!.I don't buy your ideology unless your are a sole beneficiary of the present dysfunctional system.
Maadam mimi na wewe tunakutania humu, siku wakiamka nistue, meanwhile sisi na CCM yetu, na Mama Samia wetu, acha tuendelee kupiga kazi na kazi iendelee!.Ipo siku wataamka na hakuna mtakachowafanya (in Prof. Kabudi's voice).
Huo ni mkataba wa kipuuzi ambao umegharimu nchi hii fedha nyingi sana.waliokuwa nyuma ya huu mkataba washughulikiwe kama wahujumu bila kujali walikuwa na cheo gani.ikiwezekana hata katiba ibadilishweUkivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Ashughulikiwe aliyevunja mkataba.Huo ni mkataba wa kipuuzi ambao umegharimu nchi hii fedha nyingi sana.waliokuwa nyuma ya huu mkataba washughulikiwe kama wahujumu bila kujali walikuwa na cheo gani.ikiwezekana hata katiba ibadilishwe
Sent using Jamii Forums mobile app