Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana,

Ujasiri wako na uthubutu wako uliwogofya waizi wote wa ndani na nje ya nchi, hata wazungu waliufyata, ila sasa upepo unasomeka kirahisi, eti wezi waliokuwa wakituibia, tunaanza tunawalipa tena..!

Kwa nini hawakudai fidia enzi yako!!? Nimegundua, hata biblia imesema, waoga wote hawaustahili ufalume wa mbinguni, Bali wenye nguvu ndio watakaouteka

Na nchi yetu bila watu majasiri, maendeleo tutayasikia tuu!
Kwani unafahamu kesi ilifunguliwa lini?
 
Kipindi Cha jpm kulikuwa na maendeleo gani zaidi ya kuwafanya vijana machinga waliosoma na wasiosoma hakuna tofauti.
 
Sisi ni hodari sana wa kubadilisha vitu vingi kwanini siyo ccm?
Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.
Kukosekana kwa anye serious and credible opposition in Tanzania, ni afadhali CCM iendelee!. Kiukweli Watanzania tumshukuru sana Mungu for CCM, kuna watu wangechukua nchi hii...
Naomba nisimalizie!.
P
 
Elimu Elimu Elimu... Hata wewe??
Kwa hiyo bora wanayofanya yaendelee kufanyika?
Ifahamime tu kuwa Horace Kolimba miaka kibao nyuma alishaiona ccm ikipoteza dira na muelekeo!
Kuendelea kuikumbatia ccm ni kukumbatia bomu!
😱😱😱🤔🤔🤔
 
Suppose ni kweli CCM inabidi itolewe, ibadilishwe, tueleze ibadilishwe na nani?. Yaani kwa sasa hapa tulipo, tuitoe CCM, tumpe nani?.
Kukosekana kwa anye serious and credible opposition in Tanzania, ni afadhali CCM iendelee!. Kiukweli Watanzania tumshukuru sana Mungu for CCM, kuna watu wangechukua nchi hii...
Naomba nisimalizie!.
P
Nimekupa like kabla ya kusoma nikijua wazi hujawahi kutoa mchango mbovu hapa JF.

Umeongea kitu cha maana sana, Watz tunalalamika sana kuhusu CCM ila kiukweli ni bora hata CCM kuliko huo upinzani, hata kwa kuangalia namna gani wanapanga mambo yao.
 
Wananchi wakidumazwa akili kama mnavofanya hakuna mahali tutafika...
Madaraka ni ya wananchi vyeo ni vya wanasiasa! Ni suala la kuwapa elimu na motisha ya kufanya mabadiliko! Wataitoa ccm wakiona wengine hawawezi watawapindua pia.

Wewe na paschal mayalla mmeniharibia Eid yangu.
 
Elimu Elimu Elimu... Hata wewe??
Kwa hiyo bora wanayofanya yaendelee kufanyika?
😱😱😱🤔🤔🤔
No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.

I don't buy your ideology unless your are a sole beneficiary of the present dysfunctional system.

Wakukabidhiwa nchi ni wananchi... Na wapo!!
Nyie leteni mazoea na dharau zenu...
Ipo siku wataamka na hakuna mtakachowafanya (in Prof. Kabudi's voice).
 
No it's a matter of choice, when you are cought in between the two devils, and you don't have a choice, choose the lesser. CCM ndio imetufikisha hapa, sasa tumebaini CCM ni li zimwi, bora tuendelee kulichagua zimwi likujualo, kuliko zimwi usilolijua. Nimekuuliza tuiendoe CCM sasa, halafu nchi tumkabidhi nani?.
P
Halafu hawa jamaa wamebaki kulalamika kuibiwa kura cha ajabu baada ya wizi hakuna improvement ya utawala bora ndani ya vyama hadi uchaguzi mwingine unafika na kupita, hahahaha imagine tangu 1995 hadi 2020.
Naangalia Kenya walivyopiga hatua na wametuacha mbali sana katika ukuaji wa demokrasia ndani ya vyama. Wamewezaje kuandika katiba mpya ili hali na wao walitokea katika mfumo wa chama kimoja na chini ya utawala wa baba Moi.
Jibu ni kwamba vyama hivi havijawa tayari labda vianze upya hii marathoni ya kisiasa.
Wananchi tunahitaji mabadiliko lakini wa kumpa ndiyo tatizo, so bora ccm wanatujua na tunawajua. Kifupi tunajuana kama waswahili wa pemba
 
I don't buy your ideology unless your are a sole beneficiary of the present dysfunctional system.
You don't have to buy my ideology, or anybodies ideology, facts are stubborn things, Tanzania bado hatuna mbadala wa CCM, this is a fact, and better get it in your head!.
Ipo siku wataamka na hakuna mtakachowafanya (in Prof. Kabudi's voice).
Maadam mimi na wewe tunakutania humu, siku wakiamka nistue, meanwhile sisi na CCM yetu, na Mama Samia wetu, acha tuendelee kupiga kazi na kazi iendelee!.
P
 
Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Huo ni mkataba wa kipuuzi ambao umegharimu nchi hii fedha nyingi sana.waliokuwa nyuma ya huu mkataba washughulikiwe kama wahujumu bila kujali walikuwa na cheo gani.ikiwezekana hata katiba ibadilishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha bure,

Mnacheua mlichochangiwa kwenda Royal tour!😁.

Ndiyo maana wenyewe wameiatamia orodha ya wachangiaji.
 
Back
Top Bottom