Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Serikali kuilipa Symbion Tsh Billion 356

Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!

JPM umenipa somo kubwa sana...

Mwendakwao aliwajweruhi WanaBwagamtima wenyewe wakafanya kweli!

Do not hesitate to finish your enemies, never go halfway in crushing them rather Crush them totally.
If you hesitate your enemies will not do so to you rather they will do away with you for good!

Usiache hata cheche!
 
Ujasiri unachipukia kwenye KATIBA na kuambukizwa kwa raia wote kupitia kanuni, taratibu, idara, taasisi na mifumo imara.
Ni ujinga kusubiria ujasiri wa mtu mmoja asiyetaka kuweka misingi imara ya kikatiba na kuhakikisha inafuatwa!
Ni makosa makubwa sana kujikubali kuwa wanyonge kwenye mambo ya msingi huku tukisubiria wajasiri matapeli tapeli na washamba wa uongozi!

Nchi yetu ni tajiri sana... Tulipaswa kupewa elimu bora kuendana na thamani ya nchi yetu ili mwisho wa siku tujue jinsi ya kutumia vya kwetu kujikwamua na makucha ya mkoloni!

Najua wengi hawatonielewa wakifikiri nampinga JPM au SSH lakini ukweli ndiyo huu: Tusipoliondosha jinamizi la ccm na kuanza upya kwa KATIBA MPYA jumuishi ipo siku nchi yetu itapigwa mnada.

Neti ikichanika chanika sharti uitoe uweke mpya!
Injini ikiwa umiza kichwa lazima uitoe...
Bati likivuja lazima ulitoe...

Sisi ni hodari sana wa kubadilisha vitu vingi kwanini siyo ccm?

Job Justino Ndugai alikuwa mkuu wa mhimili mmojawapo wa dola. Lazima alisikia au alioteshwa majadiliano ya minada itakavyokuwa!
 
Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Masandarusi !! Nimeanza kuyakumbuka !! Duh ! Mrema aliwahi kusema Nji hii wapo watu wanaishi kama wapo peponi !!! Kwakweli !!! Lakini kwa kuwa sote tu waja wa mwenyezi Mungu basi iko siku tutarejea kwake na kila MTU atabeba mzigo wake !! Just a matter of time !!!
 
Ujasiri unachipukia kwenye KATIBA na kuambukizwa kwa raia wote kupitia kanuni, taratibu, idara, taasisi na mifumo imara.
Ni ujinga kusubiria ujasiri wa mtu mmoja asiyetaka kuweka misingi imara ya kikatiba na kuhakikisha inafuatwa...
Kwahiyo una maana huyo aliyekuwa mkuu wa mhimili baada ya kuoteshwa alitaka kufanya toba? Au?
 
Kwahiyo una maana huyo aliyekuwa mkuu wa mhimili baada ya kuoteshwa alitaka kufanya toba ?? AU ???
Alitubu kwa wananchi... wenzake walipomsikia akitubu walimkasirikia na kumtishia vibaya... akarudi kutubu tena kwao...
Lesson from Ndugai...
Huwezi kutubu toba ya kweli alafu ukatubu kukanusha ukawa salama!
 
Back
Top Bottom