Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukivunja mkataba lazima ulipe.Hii nchi itachelewa sana kupata maendeleo ya kweli chini ya utawala wa ccm.
Ama kweli ulegelege siutaki kwenye maisha yangu!!
JPM umenipa somo kubwa sana...
Awamu ya NNE hiyoo !! Salaaleeh !! Watu na mapesa yao ! Watu na kukashifu wazee !! KARMA !!Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 mara baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5...
Ukivunja mkataba lazima ulipe.
Masandarusi !! Nimeanza kuyakumbuka !! Duh ! Mrema aliwahi kusema Nji hii wapo watu wanaishi kama wapo peponi !!! Kwakweli !!! Lakini kwa kuwa sote tu waja wa mwenyezi Mungu basi iko siku tutarejea kwake na kila MTU atabeba mzigo wake !! Just a matter of time !!!Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Ndo wenyewe mzeeNdiyo ule mkataba alikuja Obama mpaka hapa Ubungo power plant?
Ndio huo ! Na akawa anacheza mpira pale !!Ndiyo ule mkataba alikuja Obama mpaka hapa Ubungo power plant?
Duuuh aiseee nchi ngumu hii
Yeah nakumbuka mkuuNdio huo ! Na akawa anacheza mpira pale !!
Ifike mahali tukubaliane CCM basi sasa.
Watuue, watufunge n.k lkn tuamue jamani kwa ustawi wa taifa hili.
Ukivunja mkataba unalipa,Awamu hii inatakiwa kufuata sheria.
Kwahiyo una maana huyo aliyekuwa mkuu wa mhimili baada ya kuoteshwa alitaka kufanya toba? Au?Ujasiri unachipukia kwenye KATIBA na kuambukizwa kwa raia wote kupitia kanuni, taratibu, idara, taasisi na mifumo imara.
Ni ujinga kusubiria ujasiri wa mtu mmoja asiyetaka kuweka misingi imara ya kikatiba na kuhakikisha inafuatwa...
Alitubu kwa wananchi... wenzake walipomsikia akitubu walimkasirikia na kumtishia vibaya... akarudi kutubu tena kwao...Kwahiyo una maana huyo aliyekuwa mkuu wa mhimili baada ya kuoteshwa alitaka kufanya toba ?? AU ???