Serikali Kuja na Mfumo Maalumu wa Kusaidia mamlaka ya Uteuzi kufanya uteuzi kwa Usahihi

Sio kwa kuchamba uku mtu kafa lakini kateuliwa hii ni hatari. Hii inatokana n kizimkazi kusafiri MNO. Ila kwa sasa atatamani aishi njee y nchi tu sio kutakua n mashine y kumteulia yy ni kusaini tu.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Baada ya kumteua marehemu na kumteua mkuu wa mkoa mfiraji ndio wameona. Duh
 
Lucas Punguza Siasa.

Lakini nakuombea Mama na kamati za TEUZI zikuonene. ni chawa Mzuri na kada Mtiifu kwenye Chama Chetu.

all the best Lucas Mwashambwa.
Aonwe mara ngapi? Ameteuliwa kwa kazi hiyo, na sasa kuna bongo fm
 

Sawa...na uteuzi viongozi ufanyike
Kimakini sana

Ova
Inamaana sikuhizi kazi ya hazina ni kutumza mafaili ya Uteuzi na sio utumishi Tena da!?😁😁😁
 
Inamaana sikuhizi kazi ya hazina ni kutumza mafaili ya Uteuzi na sio utumishi Tena da!?😁😁😁
Kwanza unafahamu majukumu ya hazina? Unafahamu kuwa mashirika na taasisi za umma zinatakiwa kufuatiliwa na kupimwa utendaji kazi wake na nani?
 
Kwani siku hizi TISS inafanya kazi gani?? Au katika awamu ya Sita TISS haiaminiki tena?? Kama ni hivyo basi ndo maana mama anakosea Kila siku!! Nehemia acha utetezi usio na maana
 
TISS Wana kazi gani wewe Kunguru?
 
Watakuteua tu tulia kama dada yako spika
 
Nilijuwa tu bandiko la namna hii lazima litoke Kwa Chawa Lucas Mwanshamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…