Ukwel Ni huu jm amechoka kabisa, kunasiku atatuambia anakuja na umeme wa hewa hyu...Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Magufuli alipoutupilia mbali mradi wa gesi uliitisha kumkataaa??.Hivi sheria inaruhusu wananchi kumkataa waziri aliye teuliwa na rais??
Magufuli alitoa sababu,kuwa gesi pamoja na kuwa yetu tunainunua kwa bei kubwa Maana iliisha uzwa zamani, Ndio Maana kaamua kuanzisha mradi mwingine wa kutupatia umeme wa kutosha tena kwa bei nafuu.Sasa hawa majambazi wanaturudisha kule tulikokuwa tuna pakimbia.Mungu atawapiga raana tu acha watuibie tu.Magufuli alipoutupilia mbali mradi wa gesi uliitisha kumkataaa??.
Acha waibe ila tuishi kwa uhuru, tumeishi miaka 5 ya mateso huku tunaibiwa na kupigwa juu. Bora waibe sisi tuishi maisha ya amani, haya wanayoiba hawaendi nayo peponi.Magufuli alitoa sababu,kuwa gesi pamoja na kuwa yetu tunainunua kwa bei kubwa Maana iliisha uzwa zamani, Ndio Maana kaamua kuanzisha mradi mwingine wa kutupatia umeme wa kutosha tena kwa bei nafuu.Sasa hawa majambazi wanaturudisha kule tulikokuwa tuna pakimbia.Mungu atawapiga raana tu acha watuibie tu.
Shida yako wewe ni nini hasa? Unachotaka mradi utatue changamoto au Una nongwa zako?Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Acha ujinga weweWaziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Shida hawataki kuukamilisha kwa kuwa ulianza kutekelezwa na Magufuli.Mradi upi huo?
Mradi pekee utakaotatua tatizo la umeme Tanzania ni Julius Nyerere Hydropower Project. Huu ukijumlisha na miradi ya gesi ya kinyerezi, itakuwa ni suluhisho la kudumu la uhaba wa umeme nchini, wakati huo huo, mpango mkakati wa muda mrefu ukiwa Power Sufficiency kwa kuweka emphasis zaidi kwenye CHEAP SUSTAINABLE POWER GENERATION. Hii ni Afya both kwa local economy pamoja na kuvutia wawekezaji wa nje hususani viwanda vikubwa vinavyohitaji umeme mwingi lakini wa bei nafuu.
Kinyume na hapo ni matumizi mabaya ya rasilimani fedha yatakayozidi kuongeza madeni na mwisho wa siku gharama kubwa kwa wananchi.
Unreliable Power Supply means inefficient overall economy.
Si umesema mwenyewe "...serikali kuja na mpango wa $1.9bn kutatua tatizo la umeme...?"Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Sukuma gang wanahangaika kuonyesha Kalemani alifanya kazi, alikuwa anafanya utapeli tu na hatarudi, hata uzalishe umeme kiasi gani, kama hauna miundombinu ya kuufikisha kwa wateja ni kazi bure, kwa Sasa lazima kazi maalum ifanyike kulifuta kundi la sukuma gang na mawakala wake, nashauri Idara za usalama zijipe miaka kumi au ishirini kufuta kabisa kundi hili linalohatarisha usalama wa nchi na utangamano. Dola haijawahi kushindwa na itawadhibiti na kuwafuta woteHuyu kijana wamtoe Kalemani arudi au.Muhongo au hata Lukuvi
Huyu ni famba, bure kabisaa
Mpigaji mkubwa huyo, hovyo kabisaShida hawataki kuukamilisha kwa kuwa ulianza kutekelezwa na Magufuli.
Unaanza mpango Kisha utekelezaji, akili za michembe zitakufikisha wapiSi umesema mwenyewe "...serikali kuja na mpango wa $1.9bn kutatua tatizo la umeme...?"
Sasa swali la "...kwa bajeti ipi..." linaingiaje ingiaje hapo?
Maana hiyo ni "future tense". Inawezekana ukawa mpango wa mwaka kesho au mwaka kesho kutwa...
Usipende kutanguliza toroli mbele punda au farasi....!!
Tanesco inauhab wa nishati yeye anataka mijizija huko ni kutawanya pesa za shiriki ili wakusanya mabilioni ya shilingiWaziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.
Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.
Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
ndiyo, ndiyo maana aliwekwa kandoKwani Makamba ni CHADEMA ambao Jiwe alisema wanachelewesha maendeleo?
wewe hiyo miaka mitano ulipigwa wapi na uliibiwa nini!Acha waibe ila tuishi kwa uhuru, tumeishi miaka 5 ya mateso huku tunaibiwa na kupigwa juu. Bora waibe sisi tuishi maisha ya amani, haya wanayoiba hawaendi nayo peponi.
Urefu Wa Kama Tia Na UjanjaujanjaKwani Crane imeshanunuliwa?