Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Mbona huo mpango hata huja uona halafu una upinga? Labda ni maboresho tu ya mipango iliyopo unajuaje?
 
Mkuu lini unaanzisha machafuko ili tukuwahi kabla hujaleta madhara?
 
Kwani kuna tatizo la umeme?

Si kasema jana tu kuwa hii katakata ni "service" tu ambayo haikuwahi kufanyika kwa miaka mitano.

Nadhani hii wizara inahitaji mtu serious siyo watu wa porojo sampuli ya Makamba.
System ikiamua anaweza kuwa Rais na akaongoza vizuri tu.kwani Mama na Nape nani? Mwenye ushawishi kisiasa mbona anaweza?
 
From day one, mm nilisema Makamba hafai hafai kabisa. I will not talk this anymore.

Mambo gani haya, huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji.
 
Mbona huo mpango hata huja uona halafu una upinga? Labda ni maboresho tu ya mipango iliyopo unajuaje?
Sh trillion 4 na kitu ,anasema anakuja na mpango mpya, kwanini asiseme ana Mpango wa kumalizia hilo bwawa ili tuweze kupata umeme wa uhakika, maana hizo ela zinamaliza hilo bwawa na kubaki, Makamba ni fisadi anatafuta ela ya kuonga ili apate urais.
 
System ikiamua anaweza kuwa Rais na akaongoza vizuri tu.kwani Mama na Nape nani? Mwenye ushawishi kisiasa mbona anaweza?
Duuh

Kwahiyo mkuu unataka kutuambia kuwa system imeamua Makamba awe ??
 
Sh trillion 4 na kitu ,anasema anakuja na mpango mpya, kwanini asiseme ana Mpango wa kumalizia hilo bwawa ili tuweze kupata umeme wa uhakika, maana hizo ela zinamaliza hilo bwawa na kubaki, Makamba ni fisadi anatafuta ela ya kuonga ili apate urais.
Umesikiliza hotuba yake bungeni kuhusu hili?
Nena youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…