Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Wewe ndio huna unacho kijua, wewe unazani huyo mwekezaji anafanya kazi ya kanisa, huna ubavu wa kucontrol hiyo mitambo, halafu unazani mzungu mjinga aweke 70tn halafu kwenye mkataba aweke terms za kijinga.
 
Kuhusu mwekezaji kuchukuliwa hatua tena hao wa gesi sahau.
Dowans tu pamoja na utapeli waliowafanyiaa tanesco, na mkataba ukavunjwa Ila mwisho wa siku Tanesco walilipa billion of money.

Kwa hiyo mikataba ya kificho hilo ni sawa, ila mkataba usio na hila wala maslahi binafsi kwa viongozi, hatua zinachukuliwa vizuri tu ndugu.
 
Kwani hiyo gas akichimba muwekezaji ndio serekali inapoteza control? Nani kakuambia serikali ikikontrol bei ndio inakuwa nafuu?
Nakubaliana na wewe serikali ikicontrol sio ndio kuwa na Bei nafuu.
Ila kuhusu mwekezaji serikali hii ya Tanzania hupoteza control 100%
Hilo wala halihitaji mjadala, iptl, symbion, Dowans hao wote tulikua hatuna control yoyote Tena wao ndio walikuwa na control dhidi yetu, walifikia hatua kwamba hata tukivunja mkataba tutaendelea kuwalipa.
 
Wewe ndio huna unacho kijua, wewe unazani huyo mwekezaji anafanya kazi ya kanisa, huna ubavu wa kucontrol hiyo mitambo, halafu unazani mzungu mjinga aweke 70tn halafu kwenye mkataba aweke terms za kijinga.
Hii nakubaliana na wewe, Dowans tu kampuni ya mfukoni tulikosa control Tanesco wakawa wanalipa pesa nyingi kila siku.
 
Kwa hiyo mikataba ya kificho hilo ni sawa, ila mkataba usio na hila wala maslahi binafsi kwa viongozi, hatua zinachukuliwa vizuri tu ndugu.
Mkuu hiyo mikataba sasa ndio haipo na haijawahi kuwepo.
Mikataba ya gesi ilipitishwa usiku tena kwa hati ya dharura.
 
$1.9b ni sawa na TSH 4.4T
Najiuliza hii hela inatoka wapi au alikosea ni 1.9M.
 
Hiyo timu ipo kazini kuiba, tatizo la umeme wamelibuni wao na wanataka kulitatua wao. Watanzania wanatakiwa wafanye maamuzi magumu.

Kama polisi vile wanaojichunguza wenyewe

Hawa wanahitaji watu wa nje ya wizara ndio watoe rai ila sio wao
Wao wameshindwa na inabidi wakubali
 
Mradi wa kukarabati miundombinu una thamani kubwa kuliko mradi wa kufua umeme? Hii kweli bongo
Bomba la gesi tu toka mtwara hadi dar ilikua trillion 2 tu
Kufua tuu bila mifumo ya distribution itakusaidia nini? Naunga mkono hoja.
 
Na wewe unaamini utapata umeme Kwa bei nafuu? 😂😂.

Tanesco inakula losses afu upewe bei nafuu? Ni mjomba wako anazalisha?
 
I am just thinking loud.Umeme utakao kuwa generated na Bwawa la Nyerere utategemea upatikanaji wa mvua.Tunajua kuna tatizo la Climate Change, na mvua inapungua kila kukicha,sio Tanzania tu,bali worldwide.Je,hili Bwawa halitakuwa a White Elephant huko baadae?Why didn't we invest in Thermal Electric Power instead.Was it an oversight or what.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…