Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

Wewe ni mjinga mmja hivi, mwekezaji anazalisha LPG kwa matumizi ya ndani na hada exports.

Tzn itakuwa exporter wa gas na tutapata si tu mirahaba bali forex za kuzidi..

Sasa hili has nothing to do with Bwawa la Nyerere na upuuzi mwingine ulioandika hapa.
 
Wa kwanza kulaaniwa yuko chini ya kifusi 🤭🤭
 
Hivi mnaelewa mnachoongea nyie kweli?
 
Naanza ku feel kua kweli tumefiwa. Angekuwepo haya yasinge jitokeza.

Naanza kudhani kua pale ikulu Pana levya Sana.

Si amini kua huyu Bibi anaweza kutugeuka kiasi hiki.

Naombeni CCM 2025 tuleteeni Chuma hasa.

Msipo fanya hivo, picha na maneno ya marehemu yatawapa tabu Sana.

Mtashangaa kura zinapigwa upande ule.

Sipati picha Polepole akiamua kua kocha wa upande ule, tutaibaje Sasa.

Dol wataweza kweli kufaulisha masanduku.

H#tag, pumzisha huyu Bibi#
 
Sawa mpuuzi hiyo LPG kwa matumizi ya ndani atakupa bure. Akupe mrabaha kabla ya kurudisha 70tn hamna mwekezaji atakaye fanya biashara hiyo ya kipuuzi.
 
Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo.

Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4.

Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?

Huyu dogo si wakina Mpina wampe vitasa vilivyoshiba bungeni…wanamchelesha wa nini
 
Tanesco imekuwa inaendeshwa kwa miaka mingi kwa sababu ya operational costs, Poor management etc
January ataibadilisha Tanesco. Mpeni muda na mgawo utakuwa historia!!
 


Hio gesi ni ya kwako unayo export
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…