Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.