Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

Hiyo ndio kazi ya mpinzani kukosoa pale serikali inapokanyaga haki na mahitaji ya Raia. Ulitaka naye ake na ngonjera za Tumekopa mikopo ya chanjo??😅😅😅
 
angalau umeisoma mpaka mwisho.
 
Qe
Tundu Lissu huwa napenda zaidi kumsikiliza kuliko kumsoma, nimesoma hapa lakini bado lazjma nimsikilize kwa sauti yake ya ushawishi.
We jamaa uko kama mimi. Nilisoma hapa jana baadae nikaifata Youtube yoote ndio inanoga
 
Wakubali tu Katiba iliyopo imepitwa na wakati. Mpaka sasa vilaka 13
 
Qe

We jamaa uko kama mimi. Nilisoma hapa jana baadae nikaifata Youtube yoote ndio inanoga
Hakuna asiyependa kusikiliza kwa sauti nondo za Lisu tatizo la wengine ni bundle tu, YouTube haitaki bundle la mawazo, wengine wanatumia monthly unlimited bundle bundle, wengine wanajikongoja na mb 500.
 
Hakuna asiyependa kusikiliza kwa sauti nondo za Lisu tatizo la wengine ni bundle tu, YouTube haitaki bundle la mawazo, wengine wanatumia monthly unlimited bundle bundle, wengine wanajikongoja na mb 500.
Kwa Mb za jero jero huchomoki. Na sasa hivi bando gharama kubwa sana.
 
hotuba ilikua nzuri pale mwanzo alipoanza kuupinga mradi wa bwawa na kumpinga JPM hapo ndio ameharibu hotuba
Huo mradi 'tumepigwa'. Ni white elephant!
Mradi unaohitaji maji mengi, ili hali hayapo.
Idadi ya watu na matumizi ya maji vinaongezeka, ili hali vyanzo vya maji ya mto Rufiji vinapunguza uwezo wake. Kumbuka huu ni ukanda wa kitropiki.
Kwa ukubwa wa nchi hii, sio sahihi kiuchumi kumwaga matrilioni ya fedha kwenye centralised project moja ya umeme. Yaani umeme uzalishwe pwani, upelekwe Ngara, Mbaba Bay, Katavi, n.k. He hiyo transmission cost & uncertainty atabeba nani? Likely, ni mteja, kama ndio, je umeme utashuka bei?
 
Viva comrade lissu the smartest one
 
Mukandara anaaibika uzeeni !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…