Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hâta huku mwanza (mashambani kama anavyopaita yeye )bei ya 1300 tumeshaisahau, sasahivi ni 2400Tsh.Mkuu mfumuko wa bei unaanzia kwenye uzalishaji. Hapa Lissu kataja kwenye bei za walalahoi huko mikoani na vijijini. Huku Mjini Mchele sasa hivi 2500. Hii Bei Lissu angeitaja si ajabu ungepinga pia.
Sidhani kama unajua tofauti ya Rasimu ya Warioba na Katiba pendekezwa ya CCM.Kama Mngekubali ile Katiba ya Awali ambayo ilikua na masuala flani mazuri saiv mambo yangekua Tofauti....
mnajipa matumainiHawa jamaa bna,[emoji23][emoji23], kama ndio kauli yake hiyo basi itoshe tu kusema huyu jamaa kuna mahala anakosea sana na wengi hawapendi kuona huyu mtu akikosolewa sabbu ya kukalilishwa kuwa CDM hawakosei[emoji23][emoji23]...
Sijaisoma bado na pia sina agenda ya kulinganisha wawili hao, lakini mfumuko wa bei kwa sasa ni tatizo la kidunia zaidi. Imagine nchi kama Uturuki ambayo ni wazalishaji wazuri wa sehemu kubwa ya bidhaa zao, serikali ilibidi ioongeze mshiko kwa watumishi wake ili kukabiliana na hali hiyo.Ile ya mama yenu, inasema kwamba mwaka huu serikali yake imafanikiwa sana katika kuthibiti mfumuko wa bei.
Tunajua kwamba ile iliyotolewa na Mama yenu ndio hotuba bora kabisa kiwahi kuisikia Tangu uhuru.Hotuba haina jipya imejaa majungu yale yale ya kila siku space na kwingineko kifupi hotuba mbovu tangu niwahi kumfahamu Lissu!
Kwa nini uongelee marehemu Mwaka mzima? Tulishasikia yte kuhusu mwendazake haswa chuki yake na Lissu, muda umefikia SASA jamaa aendelee mbele na Maisha mengine, sympathy ya kumsema haiwezi kuleta credit yyte, inabidi sasa jamaa aanze kuwin credit hata Kwa wafuasi wa mwendazake, kumuongelea muda wte kunafanya watu wajue kuwa Huyu jamaa akipata Urais atakuwa mtu wa kulipa visasi, kma hujanielewa hutonielewa tena.Wana CCM na jamii nzima ya watanzania wanajua Mwendazake aliwaharibia nchi kwa kipengele hicho. Lazima asemwe, hiyo ndiyo misumari. Ukiona unakerwa ujue ni mmoja wa waliokua wakimfurahia mtesi. Ukiona misumari kama hiyo acha kusoma.
We mwenyewe na nchi yako yote mnalishwa na haohao wazungu, rejea mikopo mnayodaiwa na hao wazungu na namna mnavyoendelea kukopa kwa speed ya jet.Unajua sio vizuri kuwa mtu anasema ni mwenzetu wakati yeye analishwa na wazungu
Tukimwamini huyu jamaa tanzania itakuwa nchi mbaya sana
Tundu lisu ni MUONGO HOTUBA KAMA HII NI YA KUSIKILIZWA NA MABEBERU
TUNDU LISU SIO MWENZETU HATA KIDOGO
tunatakiwa tumpuuze hotuba maetoa rais haya waganga njaa hakuna watakachotusaidia siye watanzania
Mfano TUNDU LISU AMETUSAIDIA NINI MPAKA LEO TOFAUTI NA YEYE KUSAIDIWA NA NCHI NATHANI
CHADEMA NDIYO WANANUFAIKA NA MIRUZI YAKE
Na kuhoji uhalali wa vitambulisho ndiyo vilimpeleka Sugu jela.... ndio ukwel wenyewe hajakosea! Nakumbuka RC's walivyovalia njuga wamachinga kulipia vitambulisho! Hivi ni sheria ipi ilianzisha vitambulisho vya machinga? Vinginevyo kama alivyosema Lissu ni zaidi ya utapeli!
Kwa alichokiongea jana ni wazi kuna think tank ya uchumi itakuwa inamshauri, hata hivo mdogo wake Lisu ni mhadhiri wa uchumi so i think unaweza connect dots hapo.....huyu jamaa ccm wanamshinda kwasababu wana resources nyingi.
..lakini kama ni KIPAJI na BIDII jamaa amewazidi wengi ndani ya ccm.
..nawashauri Cdm wamtafutie Lissu a good economist atakayemnoa ktk masuala ya uchumi, fedha, na biashara.
..wengi tulimzoea Lissu kuzungumzia sheria ila sasa naona anazungumzia hata kilimo, uchumi, etc.