Hawa jamaa bna,[emoji23][emoji23], kama ndio kauli yake hiyo basi itoshe tu kusema huyu jamaa kuna mahala anakosea sana na wengi hawapendi kuona huyu mtu akikosolewa sabbu ya kukalilishwa kuwa CDM hawakosei[emoji23][emoji23].
Dharau kwa yule bwana alie kwenda zake wala hazijengi na hazina maana zaid ya kuwafuraisha walee waliokuwa wakimchukia yule bwana mwenda.
Lkn upande wa pili, badara ya kuendelea kupoteza muda kujadili vitu vilivyopita ambavyo havina msaada kwa chama na wananchi ni vema wangejikita ktk kuelezea malengo yao na kukosoa madhaifu ya chama tawala pale kikoseapo, kulko kutuaminisha kila siku kuhusu ubaya wa tawala zilizopita,
Ndiomaana wengi husema kuwa hiki chama hakina maono sababu wanachama wenyewe kukosa dira , wao kila kitu kivumacho wanapita nacho, yaan nikama upepo vile, kila kitu kuhusu ccm na wanaccm wao wanakifanya kama main topic na agenda yakuzungumzika uku wakikosoa na kubeza, sasa huo ni upumbavu mkubwa, kuna mambo ya ccm hayawahusu CDM na kuna mambo ya CDM hayawahus ccm, hivyo basi hawa jamaa wasipochange, watazid kupoteza kila walichonacho.