Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapo kweny neno mbwaWewe ni mbwa
Soft copy inakuwaje MkuuNimeisoma yote kasema ya kweli ombi tu kwa mhabarishaji iweke katika softcopy
Samia unamuamini?Lisu na Lema awawezi kurudi bongo wale ni wanasiasa kama kuna anaewaamini wanasiasa wa bongo basi ajijue kabisa kama ajui.
Hayajakinzana na ni mambo mawili separate kabisa yaliyopendekezwa kufanyika simultaneously ila kwa nyakati tofauti na mkutano ule ulioitwa "wa wadau wa siasa" lakini ukiwa chini ya uratibu wa Msajili wa Vyama & Baraza la Vyama vya siasa uliofanyika Dodoma siku chache zilizopita....^➢ Mchakato wa Katiba Mpya usiendelee badala yake yaangaliwe mambo machache yanayolalamikiwa sana na hayo ndio yashughulikiwe. Aidha, Katiba Inayopendekezwa ifanyiwe marekebisho na kupitishwa badala ya kuanza mchakato upya;^
Je ni mimi pekee sijaelewa? Naona aya hii inaukinzani.
Anaaminiwa na Riz1 na baba yakeSamia unamuamini?
Believe me washafunikwa kitambo..Lissu ana kipaji cha kuandika.
..timu ya waandishi wa hotuba ya Ssh wajipange vinginevyo watafunikwa na jeshi la mtu mmoja.
Lissu anaweza kurudi ila Lema hawezi kurudi kamwe sababu ya madeni makubwa aliyonayo.Lisu na Lema awawezi kurudi bongo wale ni wanasiasa kama kuna anaewaamini wanasiasa wa bongo basi ajijue kabisa kama ajui.
Believe me washafunikwa kitambo