Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

Lissu anaweza kurudi ila Lema hawezi kurudi kamwe sababu ya madeni makubwa aliyonayo.
Anarudije na bado ajahakikishiwa usalama wake na ndio kilichomkimbiza?,juzi tu hapa wahuni wamemtekenya Polepole kule kwake Dom!
 
... tunaojua masharti ya miikopo hii, ila tunajua tutailipa yote na riba juu tutake tusitake! Kwa hali hii, Spika Ndugai alikosea aliposema kuna siku nchi yetu itapigwa mnada: imeshapigwa mnada tayari, tena siku nyingi ila bado hatujajua bei yote ya mnada huo!
 
Hii hotuba ina "facts" za 2014/15. Bei ya Sukari imepanda kutoka 1800 2020 hadi 3000, 2021???, Maharage 1200, Mchele 1,000??? Kuna tatizo tatizo sehemu.
 
Mambo ya Msingi ambayo natarajia Rais anaweza kuyajibu maana hotuba ya Lissu imetangulia!

1.Swala la Mbowe kuachiwa hili linahitaji kauli yake ya kuachana na case ile
2.Mfumuko wa bei za bidhaa na huduma muhimu hili Rais amelinyamazia kimya kabisa as if hajui sababu...ni lazima waondoe zile tozo ndio chanzo.

3. Katiba mpya hili swala kwakuwa Rais ameonesha nia basi alifanye kweli asiwe na sababu ni bora aseme wazi hataki kabisa kuliko kuwa moto na baridi...

Hotuba ya Lissu ni nzuri
 
Mtu ukishauza utu wako kwa wazungu kama akivyofanya lissu hata akili huwa inahamia sehemu chafu sasa anaposema mashehe walishitakiwa kwenye utawala wa magufuli yaani hata hajui kuwa aliyewafunga ni mwenzao na akawaacha huko kwakuwa anachuki na kiongozi imara jpm anafikiri ndiyo aliwafunga akili ya lisu ni matope kabisa
 
NIMESOMA YOTE IASEE MADINI YAMETEMWA SIYO MCHEZO,,,, Nakushauri pitia uone maneno ya kuamsha hali mpya yalivyotengenezwa na kujengewa hoja,mimi ni mtumishi wa Umma najua huyu TL ana uwezo mkubwa sana,,,ipo siku;Narudia tena Ipo siku.
IPO siku Tundu ataombwa hukohuko aliko aje agombee Urais kwa mkono wa kizazi cha jeshi la wakati huo.
 
Hii ndo hotuba ya kiongozi wa nchi, imejaa madini na matumaini mapya kwa Watanzania, uishi maisha marefu Mh. Tundu A. Lissu.
 
Kwani huoni malengo yametajwa hapo kuwa ni kupigania katiba mpya,democracy,haki n.k.!?

Au ata kusoma hujui km ambavyo ata kuandika tu hujui....eg.
badara🈵️,
badala✔️
Kichwa-taka kabisa!
 
Maoni ya wananchi waTanzania kufuatia hotuba ya Kiongozi wa CHADEMA chama cha kisiasa cha Tanzania leo 31 December 2021

HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA MH. TUNDU LISSU, LEO DECEMBER 31 , 2021

Hakika hotuba hii ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wananchi wa Tanzania imebeba hali halisi ya kisiasa, demokrasia, kiuchumi, kijamii na haki za binadamu pamoja na mwenendo wa mabadiliko ya katiba ya Taifa letu chini ya tawala za CCM za mwendazake Rais John Pombe Joseph Magufuli katika miezi ya October 2020 mpaka January - Machi 2021 na ya chini ya utawala wa Rais Samia Hassan April - December 2021. Na hotuba hii ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA , Mh. Tundu Lissu inafaa kuwa rejea ya nchi yetu Tanzania ilipotoka , ilipo na maoteo ya mwaka mpya 2022.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…