Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

Unajua sio vizuri kuwa mtu anasema ni mwenzetu wakati yeye analishwa na wazungu

Tukimwamini huyu jamaa tanzania itakuwa nchi mbaya sana

Tundu lisu ni MUONGO HOTUBA KAMA HII NI YA KUSIKILIZWA NA MABEBERU


TUNDU LISU SIO MWENZETU HATA KIDOGO


tunatakiwa tumpuuze hotuba maetoa rais haya waganga njaa hakuna watakachotusaidia siye watanzania

Mfano TUNDU LISU AMETUSAIDIA NINI MPAKA LEO TOFAUTI NA YEYE KUSAIDIWA NA NCHI NATHANI

CHADEMA NDIYO WANANUFAIKA NA MIRUZI YAKE
 
Ni hotuba nzuri sana kwa kiongozi wa upinzani. Ni ya kitaifa na ime set high bar kwa Rais
Sipendi kuwa disappointed kama ile ya Uhuru iliyoorodhesha vitu bila kufanyia analysis au kuzingatia nyakati, watu na uchumi.
..Kama ni kutoa KASORO nitasema ni ndefu. Ilitakiwa iwe more compact.
Nakubaliana nawe kwa urefu, kulikuwa na uwezekano wa kuifanyia editing ikapunguza maneno na urefu bila kuathiri maudhui. Naelewa kwamba TL alikusudia kueleza kila kitu ili kuepuka wenye nia ovu kuibadilisha kwa makusudi kwa kuchukua 'mstari' na kisha kuivuruga
 
I have cried reading Lissus speech. The last paragraphs are incredible. They entail the mind of a genius to encompass people from all walks of life. KUDOs son of the land for such a brilliant speech. Incredible and well written !
 
31 December 2021

SERIKALI IPO MAJARIBUNI UTAWALA-BORA. TUNDU LISSU NA GODBLESS LEMA, KUREJEA NCHINI.


MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema Kamati Kuu ya Chama chake imeazimia yeye pamoja na mwanasiasa Godbless Lema kurejea nchini ili kushiriki shughuli za kisiasa na ujenzi wa taifa.

Akizungumza kwa njia ya mtandao jana Ijumaa Disemba 31, 2021 Lissu amesema “hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni,” na kwamba yeye na wanasiasa wengine wataanza kufanya maandalizi ya kurejea nchini kati ya Machi na Aprili 2022.

“Huu ni mwanzo wa harakati mpya. Ni mwanzo wa wakimbizi kurudi kujenga nchi yetu,” amesema Lissu nakuongeza kuwa viongozi wa Chadema wataendelea na maandalizi ya kuwapokea wanachama hao na maandalizi yakiwa tayari watatangaza tarehe na muda maalumu wa wao kurejea nchini
 
Madini kama haya niya wachache ,vichwa vya wana siasa wengi vimejaa mawazo mgando kusifia kila jambo hata kama linahatarisha maisha ya Mtanzania.
 
Jiwe alikuwa shetani,tapeli,mwongo,zandiki,fisadi,muuaji, mwizi, Wala hakuna kumumunya maneno. Sina maneno zaidi ya kumwelezea fedhuli yule!

Alikufa angalao nchi ipumue japo kidogo. Ni mpango wa Mungu kifo chake.

Akafe tena!
 
Lini atakuwa na adabu na heshima kwa Rais wa nchi na serikali ?!!!!

Angalia jinsi anavyomtaja Rais wa nchi kama anamuita mtu wa mtaani....😳😳😳😳

Speech imejaa UTOVU WA NIDHAMU.....

Speech imejaa SHUTUMA NA DHIHAKA KEDEKEDE......


Lini mtu huyu atabadilika ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Unaugulia maumivu toka pande zip? Pole [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii hotuba ina "facts" za 2014/15. Bei ya Sukari imepanda kutoka 1800 2020 hadi 3000, 2021???, Maharage 1200, Mchele 1,000??? Kuna tatizo tatizo sehemu.
Bei ya mchele ilikuwa ni 1000 - 1300 kwa zaidi ya mwaka mmoja mpaka pale aliposhika hatamu mama yenu, hapo kwenye sukari sidhani kama ni ukweli.


Kimsingi vitu vyote vimepanda kwahiyo hakuna utaofauti wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…