Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

Tumpongeze Mama Samia kwa kufanya nchi kuwa salama kiasi cha Makamanda kuona nchi salama sasa kwao kurudi na kufanya siasa..
 
Ila utamu wake pia ni kwamba haichoshi kusoma, na hapo ndo huwa unajua T.A.L ni Genius... Sioni mwanasiasa wakufananishwa naye kwa sasa...
 
Heavy Punch...
 
Ila utamu wake pia ni kwamba haichoshi kusoma, na hapo ndo huwa unajua T.A.L ni Genius... Sioni mwanasiasa wakufananishwa naye kwa sasa...

...huyu jamaa ccm wanamshinda kwasababu wana resources nyingi.

..lakini kama ni KIPAJI na BIDII jamaa amewazidi wengi ndani ya ccm.

..nawashauri Cdm wamtafutie Lissu a good economist atakayemnoa ktk masuala ya uchumi, fedha, na biashara.

..wengi tulimzoea Lissu kuzungumzia sheria ila sasa naona anazungumzia hata kilimo, uchumi, etc.
 
Hivi jina la Magufuli amelitaja mara ngapi humo mkuu?
 
Kama Mngekubali ile Katiba ya Awali ambayo ilikua na masuala flani mazuri saiv mambo yangekua Tofauti....
 
Hotuba yote ipo juu hapo mkuu, tuwekee huo uongo na sisi tuuone.
 
Sijui kwanini hii hotuba ina wachangiaji na wasomaji wengi kuliko ile ya Yule mwingine.
 
Lissu awe makini sana, sidhan Kama nchi hii ni salama sana kwake!!

Amshukur Mungu kumpa uhai mpaka leo hi, ila asifanye haraka!!

2022-kazi iendelee
Lissu awe makini sana, sidhan Kama nchi hii ni salama sana kwake!!

Amshukur Mungu kumpa uhai mpaka leo hi, ila asifanye haraka!!

2022-kazi iendelee
Hata Mungu alimtoa Mwanawake mpendwa kuja kuiokoa dunia aliyo ipenda
Sembuse Lisu kuja kuikomboa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…